After handing over that Audi to me all I need now is you.. only you my darling.
At your service sir... tumeshafika tunakusubiri.
hahahahah haya wewe jitanaze tu hapa, watakupokonywa kama wewe ulivyotaka kuwapokonya wenzio clement, hahaa haya kula bata mama ila akiishiwa utafate pa kujibanza kama Mama Ubaya anavyojibanza kwa Mtoto wa Tandale
Tena mwambie best yako H.O.E kuwa nawasubiri ghorofa ya juu, chumba namba mbili a.k.a PM, sawa?
Ha ha ha kimbia wala usigeuke nyuma, kanikumbusha chagga Barbie na kibamia cha prezzo
Kumbe una kibamia asante kwa taarifa
ndio, njoo ukione
Huyu lulu kaishiwa maana wanaume wote wa mjini washa mlala na washamdharau na soko lake limeshuka saaaana.......so Atuache wenziwe
Atuache tuhongwe kwa raha zetu