Unaongea vitu ambavyo huvijui ndugu, pole sana as eh..kama filamu ingekuwa inalipa kiasi hicho usingesikia habar za mabwana wala kugombania wanaume
Unaongea vitu ambavyo huvijui ndugu, pole sana as eh..kama filamu ingekuwa inalipa kiasi hicho usingesikia habar za mabwana wala kugombania wanaume
Lulu ni Mwanamuziki wa nchin gani?
Ni Muimbaji wa Kanisa la Ufufuo na uzima.Lulu ni Mwanamuziki wa nchin gani?
Eti lulu ndio nani
Nikuchezeshe kwenye movie yangu kama main character... lazima uwakimbie!Kuna watu wana bahati... hawa waheshimiwa wanapatikana wapi nijisevia mmoja.
Binamu huyo Chausiku niliona ile movie yake maana ilibidi niitafute kwa jinsi watu walivuokua wanaisifia.... anavaa uhusika balaa.
Jamani ni jambo la kumpongeza mtu anaevalue kazi yake.. tuwaumge mkono wasanii wanaotaka dau kubwa ili wajenge maisha yao wakiwa vijana. Itafikia umri lulu hatokuwa star kama alivyo sasa kwann asitumie ustar wake kupata mashuka ya kimasai? We unadhani laki 3 au 5 zitamsaidia nn sasa.... ataishi maisha ya uswaz wakati yy ni star?
hata marehemu Kanumba alikuwa halipwi hivyo,huo ni uongo hadharani
Lulu ni Mwanamuziki wa nchin gani?
Eti lulu ndio nani
Nikuchezeshe kwenye movie yangu kama main character... lazima uwakimbie!
Hii tasnia ya Bongo movie inaonyesha ina uongo uongo mwingi. Kiasi hujui nani anazungumza ukweli nani anasema uongo, ndio maana ata watu wanaogopa kuinvest.
Kuhusu Lulu, lulu atalipwaje sawa na Riyama tuwe wakweli jamani profile ya Lulu ni kubwa hii ata Hollywood inamatter. Lupita hawezi lipwa sawa na Cameroon Diaz ata kama amemzidi kiwango.
Mkuu leo umenipa changamoto kubwa sana! Suala la script za documentary nilikuwa sijawahi kabisa kulifikiria maishani mwangu!! Ulipogusia hapa, nilazimika ni-Google sample yake... hazifanani wala kukaribiana hata kidogo na movie or tv show scripts!!! Nilivyoziona, zinafana fanana na tv programs scripts... hizi ni zile kama zinazoandaliwa na tv stations kwa ajili ya habari n.k ambapo kwa formats zinatofautiana na movie scripts au tv show/series scripts kwa 100%!!! Watu waliosomea Mass Communication ndio wanajifunza scripts za aina hii! Kutokana na hilo, I have no idea even kuhusu uuzaji wake!!!Mwanangu ninawezaje kujifunza kuandika script za documentary online? ebu nipe link kama unazo.
Pia vipi unaweza kuziuzaje hizi doc ? mnunuzi na mfumo I mean.
Kuna watu wana bahati... hawa waheshimiwa wanapatikana wapi nijisevia mmoja.
Binamu huyo Chausiku niliona ile movie yake maana ilibidi niitafute kwa jinsi watu walivuokua wanaisifia.... anavaa uhusika balaa.