LULU Michael na madai ya kulipwa mil. 15

LULU Michael na madai ya kulipwa mil. 15

Unaongea vitu ambavyo huvijui ndugu, pole sana as eh..kama filamu ingekuwa inalipa kiasi hicho usingesikia habar za mabwana wala kugombania wanaume

Haujui kubali hilo usiishi kwa hisia, hivi unadhani milion 45 kwa maisha ya lulu inaisha kwa mda gani?fanya utafiti wako ujue wanalipwa vipi, usijae hisia, afterall wanalipwa kwa installments
 
Unaongea vitu ambavyo huvijui ndugu, pole sana as eh..kama filamu ingekuwa inalipa kiasi hicho usingesikia habar za mabwana wala kugombania wanaume

Unajua nilijua labda umeshajishughulisha na wasanii, now nakupna mtupu tuu, debe tupu hujui kitu
 
Jamani ni jambo la kumpongeza mtu anaevalue kazi yake.. tuwaumge mkono wasanii wanaotaka dau kubwa ili wajenge maisha yao wakiwa vijana. Itafikia umri lulu hatokuwa star kama alivyo sasa kwann asitumie ustar wake kupata mashuka ya kimasai? We unadhani laki 3 au 5 zitamsaidia nn sasa.... ataishi maisha ya uswaz wakati yy ni star?
 
Unajua nilijua labda umeshajishughulisha na wasanii, now nakupna mtupu tuu, debe tupu hujui kitu

Hujui chochote ndugu, hyo mil 50 sijui anayolipwa labda kwa mikataba yao binafsi uko pemben ila sio sanaa mkuu
 
Ww ni mkweli sn asante hakuna movie kacheza lulu nikaipenda ila yeye ni maarufu sn
 
Kuna watu wana bahati... hawa waheshimiwa wanapatikana wapi nijisevia mmoja.

Binamu huyo Chausiku niliona ile movie yake maana ilibidi niitafute kwa jinsi watu walivuokua wanaisifia.... anavaa uhusika balaa.
Nikuchezeshe kwenye movie yangu kama main character... lazima uwakimbie!
 
Jamani ni jambo la kumpongeza mtu anaevalue kazi yake.. tuwaumge mkono wasanii wanaotaka dau kubwa ili wajenge maisha yao wakiwa vijana. Itafikia umri lulu hatokuwa star kama alivyo sasa kwann asitumie ustar wake kupata mashuka ya kimasai? We unadhani laki 3 au 5 zitamsaidia nn sasa.... ataishi maisha ya uswaz wakati yy ni star?

hata marehemu Kanumba alikuwa halipwi hivyo,huo ni uongo hadharani
 
Nikuchezeshe kwenye movie yangu kama main character... lazima uwakimbie!

Mwanangu ninawezaje kujifunza kuandika script za documentary online? ebu nipe link kama unazo.

Pia vipi unaweza kuziuzaje hizi doc ? mnunuzi na mfumo I mean.
 
Hii tasnia ya Bongo movie inaonyesha ina uongo uongo mwingi. Kiasi hujui nani anazungumza ukweli nani anasema uongo, ndio maana ata watu wanaogopa kuinvest.

Kuhusu Lulu, lulu atalipwaje sawa na Riyama tuwe wakweli jamani profile ya Lulu ni kubwa hii ata Hollywood inamatter. Lupita hawezi lipwa sawa na Cameroon Diaz ata kama amemzidi kiwango.
 
Uigizaji pia una matter aseh , lulu kashawahi kulipwa ata mil 5 kwa movie ipi? Na kwa uigizaji gani? Labda shigongo ndo atamlipa hyo Pesa kwa kuwa ndo anamuandika sana kwenye magazeti yake
 
Mwanangu ninawezaje kujifunza kuandika script za documentary online? ebu nipe link kama unazo.

Pia vipi unaweza kuziuzaje hizi doc ? mnunuzi na mfumo I mean.
Mkuu leo umenipa changamoto kubwa sana! Suala la script za documentary nilikuwa sijawahi kabisa kulifikiria maishani mwangu!! Ulipogusia hapa, nilazimika ni-Google sample yake... hazifanani wala kukaribiana hata kidogo na movie or tv show scripts!!! Nilivyoziona, zinafana fanana na tv programs scripts... hizi ni zile kama zinazoandaliwa na tv stations kwa ajili ya habari n.k ambapo kwa formats zinatofautiana na movie scripts au tv show/series scripts kwa 100%!!! Watu waliosomea Mass Communication ndio wanajifunza scripts za aina hii! Kutokana na hilo, I have no idea even kuhusu uuzaji wake!!!

Binafsi nina uelewa wa kutosha kuhusu movie/tv series scripts lakini natumia industrial standard maarufu kama Hollywood standard! Hilo nimeweka wazi coz' kibongo bongo, huwa wana-ignore industrial standard... kwanza kutokana na idadi ya pages (85-120) wakati kibongobongo hata ukiandika ya page 50, wao sawa tu! Jambo lingine, kibongobongo wanapenda sana kuweka ma-camera movements wakati industrial study ina-discourage kuweka camera movement unless it's necessary and if only if ni production script ambayo si kazi ya mwandishi!!

Saying so, ningekuwa na uwezo wa kusema machache kuhusu movie/tv series scripts and how you can sell them kuliko masuala ya documentaries!
 
Kuna watu wana bahati... hawa waheshimiwa wanapatikana wapi nijisevia mmoja.

Binamu huyo Chausiku niliona ile movie yake maana ilibidi niitafute kwa jinsi watu walivuokua wanaisifia.... anavaa uhusika balaa.

Tatizo mkipiemiwa mnaringa sana, hao unaowauliza hata hapa jf wapo, hizo pesa wanazolipwa hao wasanii haitoshi kununulia hata mboga ya mlo mmoja.
 
Back
Top Bottom