matumbo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 7,224
- 3,951
Mkuu leo umenipa changamoto kubwa sana! Suala la script za documentary nilikuwa sijawahi kabisa kulifikiria maishani mwangu!! Ulipogusia hapa, nilazimika ni-Google sample yake... hazifanani wala kukaribiana hata kidogo na movie or tv show scripts!!! Nilivyoziona, zinafana fanana na tv programs scripts... hizi ni zile kama zinazoandaliwa na tv stations kwa ajili ya habari n.k ambapo kwa formats zinatofautiana na movie scripts au tv show/series scripts kwa 100%!!! Watu waliosomea Mass Communication ndio wanajifunza scripts za aina hii! Kutokana na hilo, I have no idea even kuhusu uuzaji wake!!!
Binafsi nina uelewa wa kutosha kuhusu movie/tv series scripts lakini natumia industrial standard maarufu kama Hollywood standard! Hilo nimeweka wazi coz' kibongo bongo, huwa wana-ignore industrial standard... kwanza kutokana na idadi ya pages (85-120) wakati kibongobongo hata ukiandika ya page 50, wao sawa tu! Jambo lingine, kibongobongo wanapenda sana kuweka ma-camera movements wakati industrial study ina-discourage kuweka camera movement unless it's necessary and if only if ni production script ambayo si kazi ya mwandishi!!
Saying so, ningekuwa na uwezo wa kusema machache kuhusu movie/tv series scripts and how you can sell them kuliko masuala ya documentaries!
Poa mkuu,nimekusoma... maana kuna mdau mmoja katoka nje amekuja kufanya research ya ishu flani so alinipa hiyo idea kuwa niifanyie documentary sasa kama hazifanyi biashara aina ishu coz yeye yupo kimasomo zaidi. Maybe niangalie upande huo wa tv show kwa mbeleni.
Ntakuchek one day pm tushee vitu flani.