LULU Michael na madai ya kulipwa mil. 15

LULU Michael na madai ya kulipwa mil. 15

Mkuu leo umenipa changamoto kubwa sana! Suala la script za documentary nilikuwa sijawahi kabisa kulifikiria maishani mwangu!! Ulipogusia hapa, nilazimika ni-Google sample yake... hazifanani wala kukaribiana hata kidogo na movie or tv show scripts!!! Nilivyoziona, zinafana fanana na tv programs scripts... hizi ni zile kama zinazoandaliwa na tv stations kwa ajili ya habari n.k ambapo kwa formats zinatofautiana na movie scripts au tv show/series scripts kwa 100%!!! Watu waliosomea Mass Communication ndio wanajifunza scripts za aina hii! Kutokana na hilo, I have no idea even kuhusu uuzaji wake!!!

Binafsi nina uelewa wa kutosha kuhusu movie/tv series scripts lakini natumia industrial standard maarufu kama Hollywood standard! Hilo nimeweka wazi coz' kibongo bongo, huwa wana-ignore industrial standard... kwanza kutokana na idadi ya pages (85-120) wakati kibongobongo hata ukiandika ya page 50, wao sawa tu! Jambo lingine, kibongobongo wanapenda sana kuweka ma-camera movements wakati industrial study ina-discourage kuweka camera movement unless it's necessary and if only if ni production script ambayo si kazi ya mwandishi!!

Saying so, ningekuwa na uwezo wa kusema machache kuhusu movie/tv series scripts and how you can sell them kuliko masuala ya documentaries!

Poa mkuu,nimekusoma... maana kuna mdau mmoja katoka nje amekuja kufanya research ya ishu flani so alinipa hiyo idea kuwa niifanyie documentary sasa kama hazifanyi biashara aina ishu coz yeye yupo kimasomo zaidi. Maybe niangalie upande huo wa tv show kwa mbeleni.

Ntakuchek one day pm tushee vitu flani.
 
Hii tasnia ya Bongo movie inaonyesha ina uongo uongo mwingi. Kiasi hujui nani anazungumza ukweli nani anasema uongo, ndio maana ata watu wanaogopa kuinvest.

Kuhusu Lulu, lulu atalipwaje sawa na Riyama tuwe wakweli jamani profile ya Lulu ni kubwa hii ata Hollywood inamatter. Lupita hawezi lipwa sawa na Cameroon Diaz ata kama amemzidi kiwango.

Ata Hollywood ana matter? Una masihara matola, au unadhani uigizaji ni sura na kukaa uchi kwenye magazeti? Lulu hana hadhi ata ya kucheza movie za Kenya , kuna wabongo daily wanalamba tuzo Uko ulaya, kama usanii ni sura au kukaa uchi na ustaa basi wema sepetu angepata ata tuzo kumi , ingawa sasa hana tuzo ata ya msanii chipukizi Wa filamu
 
warumi edit hiyo post yako maana umenivunjia heshima kuniita majina ya ajabu.
 
Nimecheka hadi basi.... cjui warumi alikuwa anakimbilia wapi!!!
 
Last edited by a moderator:
Kuna watu wana bahati... hawa waheshimiwa wanapatikana wapi nijisevia mmoja.

Binamu huyo Chausiku niliona ile movie yake maana ilibidi niitafute kwa jinsi watu walivuokua wanaisifia.... anavaa uhusika balaa.

hahahaaa yani umeniacha hoooi dahhh, hawa waheshimiwa jamani kujeni pande izi
 
Poa mkuu,nimekusoma... maana kuna mdau mmoja katoka nje amekuja kufanya research ya ishu flani so alinipa hiyo idea kuwa niifanyie documentary sasa kama hazifanyi biashara aina ishu coz yeye yupo kimasomo zaidi. Maybe niangalie upande huo wa tv show kwa mbeleni.

Ntakuchek one day pm tushee vitu flani.
Hamna noma wangu... hata hivyo, huenda biashara ikawepo lakini nadhani biashara yake haipo open sana na kv ckuwahi kabisa kufikiria hilo jambo, ndo hivyo tena...
 
Ata Hollywood ana matter? Una masihara matola, au unadhani uigizaji ni sura na kukaa uchi kwenye magazeti? Lulu hana hadhi ata ya kucheza movie za Kenya , kuna wabongo daily wanalamba tuzo Uko ulaya, kama usanii ni sura au kukaa uchi na ustaa basi wema sepetu angepata ata tuzo kumi , ingawa sasa hana tuzo ata ya msanii chipukizi Wa filamu
Mpwa hukumuelewa matumbo, hajasema hata Hollywood ana matter (Lulu) bali ina matter, kwa maana kwamba, malipo ya mwigizaji yanategemeana sana na profile ya mwigizaji husika sawa na alivyotoa mfano kwamba, Cameroon Diaz hawezi kulipwa sawa na Lupita Nyong'o! Tena kwa Hollywood kila idara ndo hivyo hivyo... mathalani, script ambayo mwandishi asiye na jina anaweza kulipwa $ laki 2, script hiyo hiyo kwa A-List Writer angelipwa zaidi ya $ laki 5! Wakati zamani Hollywood ungeweza kuuza hata idea, cku hizi kwa mwandishi asiye na jina hata awe amezaliwa tumbo moja na Yesu au Muhammad hawezi kuuza idea ingawaje waandishi magwiji hadi kesho wanauza idea hata kama wanatoka ukoo wa farao!!
,
 
Tukutane kule jukwaa la burudani , nafungua uzi Wa script writing and film making process tukajimwage uko
 
Last edited by a moderator:
Tukutane kule jukwaa la burudani , nafungua uzi Wa script writing and film making process tukajimwage uko
Dah! Bad timing... anyway, nitaukuta huo uzi kesho mapema kabisa! Ni uzi mwanana kabisa huo... mara kwa mara nimekuwa nikifikiria kutoa kitu kama hicho.
 
Wandugu mnapoteza muda na, bundle na nguvu zenu kum discuss changu Dogo. U maarufu wa Lulu siku zote imekuwa ni mienendo yake ya ngono hata underage sex yake na Kanumba. In fact km asingekufa Angekuwa na kesi ya sex with an underage
 
siangalii nigeria wala tanzania movies
Wengi wanaongea kama wanasoma kwenye makaratas i hate hizo movies bora nitafute gazeti la shigongo nisome
Kuliki kuangalia hizo eti jini linaangalia upande wa kwanza na wapili halaf ndo linavuka barabara
jambazi anaingia kuiba anavua viatu mlangoni mxxxxx
Hapana
 
Back
Top Bottom