Lulu Michael

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Hongera sana Dogo, dah maana unajituma sana kuhakikisha kila kitu kwenye familia kinaenda sawa.Na wewe mama lulu umezidi mtoto analalamika sana kuwa unamuomba hela kila wakati, kachoka hadi kaamua kukununulia boda boda iwe inakuingizia angalau hata hamsin kwa wiki, haya sasa ----------- boda boda ukipata pesa wewe na bar, unalewa hadi kero ,si una uhakika kesho zitaingia nyingine bhna?, mtoto anahangaika kucheza ngololo na watu wazima ili mradi tu atunze familia, mama badala ya kutulia mfanye mambo ya maana na wewe unazingua, kweli ng'ombe wa maskini hazai.

Haya na wewe lulu mtoto wa mh kajitolea kukulea na nyumba uko tegeta kakupangishia sasa ivi unalalamika ooh mbahili hatoi pesa , sasa wewe ulitaka upewe hela kila siku umeambiwa ATM machine ile? Au wewe umekuwa mke wake? , ndio tunajua mh mtarajiwa bahili kweli kweli na wewe kupangishiwa hiyo nyumba shukuru mungu, yaani umeshindwa kumvumilia mwenzio yupo kwenye mchakato wa kampeni za uchaguzi wewe unataka hela tu, si ufanye kazi kwani baba ako yule? , ukashindwa kuvumilia sasa ivi upo kwa billionaire mwingine, sawa kula ujana ila kuna ukimwi au unataka kurudi jela?maana mtoto wa mh akisikia hii patakuwa hapatoshi, we endekeza chini tu.

 

Attachments

  • 1396036686646.jpg
    42.3 KB · Views: 1,481
Haha chini pake panawaka moto...lulu kutulia ni ngumu alafu nae eti anasena her dreams are valid. ..teh teh. Keep on dreaming.
 
Hahhhahhhahha yaan mama kalemaa na pesa za mwanaee maskini Lulu ana kazi kubwaaa aisee
 
Nakumbuka baada ya kwenda gerezani mama lulu alilalamika sana nakusema yeye ndo alikuwa akihudumia familia teh.
 
Inaonekana bibie alianza kugegedwa akiwa darasa la pili kama mamaye yupo hvyo.
 
Jua kua ulikua na thread za uhakika before ila uku unakoelekea naona una-copy Team ukweli na uwazi nakushauri baki na identity yako hapa ni JF na kule ni Instagram najua unajua nazungumzia nini wengine tunapita kotekote ivo inaleta uvivu kuona kitu kimoja sehenu tofauti wewe endelea kutuletea uzi wa aina yako kama zamani ulikua una-sound poa sana.
 

mmh limekaa kifamilia zaidi halafu kama mtu anatapika nyongo zake vile....!!!! inside story
 
Nenda uko kwa team ukweli na uwazi kama utaikuta hii, acha kukariri maisha, halafu mbona unakuwa muongo mpaka unaudhi? Hii nimeandika mwenyewe baada ya kuwa n evidence zangu, we nenda kwa hyo team ukweli halafu uje utoe ushuhuda wa kweli ------- zako wewe
 

halafu mkubwa hapendezi kuwa muongo, unadiriki kuwaongopea watu nime copy na kupaste wakati unajua sio kweli, acha kuropoka wewe , nenda kwa huyo bwana ako team ukweli halaf upige picha hii story kama unavyodai uilete humu watu waione. I won't write anything until I have my own evidence, siwez kukaa na kutunga mambo au kukop kwa mtu ---- wewe labda nikop kwenye magazeti ya udaku, nataka uonyoshe thread yangu yeyote ambayo nime copy kwa hyo team ukweli, I'm sure ukiikuta hautaniona hili jukwaa kamwe .acha kuongea usivyovijua yani umeniudhi kwa kuongea uongo, let m call you mother----errrr
 
We mwagaa mbona wanapendaaaa

Nimempa assignment akienda kwa huyo team ukweli na kukuta hii habari , binamu jukwaa ntaliama milele sitarudi humu tena , sio kwa huyo tu ata akiikuta popote aje kutoa ushuhuda humu kuwa nimekopi sehemu, Mimi warumi sijafulia habari kihivyo bhna, ananichafulia tu jina binamu, kumbe na Mimi nawatia watu homa eeh? Hadi wanasema nime copy duh najikubal kwa hilo.
 
Last edited by a moderator:

Mti wenye matunda ndio hupigwa mawee
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…