warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Hongera sana Dogo, dah maana unajituma sana kuhakikisha kila kitu kwenye familia kinaenda sawa.Na wewe mama lulu umezidi mtoto analalamika sana kuwa unamuomba hela kila wakati, kachoka hadi kaamua kukununulia boda boda iwe inakuingizia angalau hata hamsin kwa wiki, haya sasa ----------- boda boda ukipata pesa wewe na bar, unalewa hadi kero ,si una uhakika kesho zitaingia nyingine bhna?, mtoto anahangaika kucheza ngololo na watu wazima ili mradi tu atunze familia, mama badala ya kutulia mfanye mambo ya maana na wewe unazingua, kweli ng'ombe wa maskini hazai.
Haya na wewe lulu mtoto wa mh kajitolea kukulea na nyumba uko tegeta kakupangishia sasa ivi unalalamika ooh mbahili hatoi pesa , sasa wewe ulitaka upewe hela kila siku umeambiwa ATM machine ile? Au wewe umekuwa mke wake? , ndio tunajua mh mtarajiwa bahili kweli kweli na wewe kupangishiwa hiyo nyumba shukuru mungu, yaani umeshindwa kumvumilia mwenzio yupo kwenye mchakato wa kampeni za uchaguzi wewe unataka hela tu, si ufanye kazi kwani baba ako yule? , ukashindwa kuvumilia sasa ivi upo kwa billionaire mwingine, sawa kula ujana ila kuna ukimwi au unataka kurudi jela?maana mtoto wa mh akisikia hii patakuwa hapatoshi, we endekeza chini tu.