Lulu Michael

Lulu Michael

halafu mkubwa hapendezi kuwa muongo, unadiriki kuwaongopea watu nime copy na kupaste wakati unajua sio kweli, acha kuropoka wewe , nenda kwa huyo bwana ako team ukweli halaf upige picha hii story kama unavyodai uilete humu watu waione. I won't write anything until I have my own evidence, siwez kukaa na kutunga mambo au kukop kwa mtu ---- wewe labda nikop kwenye magazeti ya udaku, nataka uonyoshe thread yangu yeyote ambayo nime copy kwa hyo team ukweli, I'm sure ukiikuta hautaniona hili jukwaa kamwe .acha kuongea usivyovijua yani umeniudhi kwa kuongea uongo, let m call you mother----errrr

Mbona umepanick sana??sijakuambia ume-copy content ya habari yako bali aina ya uandishi na mtiririko wa mawazo ni dhahiri unapita kwenye uandishi wa huyo mtu ni sawa kama anavondika Lara1 ni identity yake ikitokea mtu akaandika kama yeye lazima itajulikana kua ka-copy na ku-paste maana Lara1 ame-create identity ya uandishi cmply hauna sababu ya kutokwa na povu na kutoa matusi hasa unamgusa mama angu ungeweza kuongea yote lakini ukaacha kutaja hawa mama zetu katika maneno hasi haileti maana sina hulka ya kumtaja mama ako hata kama ungeongea nini kuhusu mimi ni ustaarabu wa kawaida sana alafu hapa JF kukusolewa ni kawaida sio lazima uwe unasifiwa tu,unaruhusiwa kutukana tena kwa lugha yoyote bila kumuhusisha mama angu.
 
Nimempa assignment akienda kwa huyo team ukweli na kukuta hii habari , binamu jukwaa ntaliama milele sitarudi humu tena , sio kwa huyo tu ata akiikuta popote aje kutoa ushuhuda humu kuwa nimekopi sehemu, Mimi warumi sijafulia habari kihivyo bhna, ananichafulia tu jina binamu, kumbe na Mimi nawatia watu homa eeh? Hadi wanasema nime copy duh najikubal kwa hilo.

mbona kama umepanick binam
 
mbona kama umepanick binam

-------- sana, atasemaje habar kaiona kwa ukweli na uwazi wakati sio kweli? Kwa nini adanganye? Sasa ivi ndo anajifanya kusema eti nakopy mtiririko badala ya kuona kaumbuka famba sana, ni kweli ivi karibuni nimekuwa Niki copy uandish wake kwa kuwa naona unavutia kama unawakera wengi nitabadilika hamna shida, natak niwe my own id. warumi
 
Last edited by a moderator:
Mbona umepanick sana??sijakuambia ume-copy content ya habari yako bali aina ya uandishi na mtiririko wa mawazo ni dhahiri unapita kwenye uandishi wa huyo mtu ni sawa kama anavondika Lara1 ni identity yake ikitokea mtu akaandika kama yeye lazima itajulikana kua ka-copy na ku-paste maana Lara1 ame-create identity ya uandishi cmply hauna sababu ya kutokwa na povu na kutoa matusi hasa unamgusa mama angu ungeweza kuongea yote lakini ukaacha kutaja hawa mama zetu katika maneno hasi haileti maana sina hulka ya kumtaja mama ako hata kama ungeongea nini kuhusu mimi ni ustaarabu wa kawaida sana alafu hapa JF kukusolewa ni kawaida sio lazima uwe unasifiwa tu,unaruhusiwa kutukana tena kwa lugha yoyote bila kumuhusisha mama angu.

Nilikuchukia kwa kuwa uliwatolea watu ushuhuda wa uwongo, nikaja kukubal baada ya kukosoa mtiririko wangu ni kweli unafanana na wa team ukwel, sio kesi nitabadilika kama ni kero, niliichukia comment yako kwa kuwa ulisema uwongo brother. One love. warumi
 
We good...!BTW sijawa-quote wengine ambao nao wame-panick bila kuelewa nini nlisema maana wewe ndio ulikua mtu nnaekueleza kwa kua na-comment mara nyingi kwenye thread zako ni poa kama umeelewa nini nilikusudia kusema naamini una identity yako JF ambayo haitakiwi kupotea kirahisi.
Sorry kwa kukukwaza,amani kwako.
 
hakuna shida , sio dhambi kurekebishana ikitokea misunderstanding..
 
Namsaidiaa alikomea form two kama sikoseiiii

Mwenzangu basi sasa ivi anasoma magogoni , yaan hii serikali yetu hii, mwee au kwa kuwa staa? Hii kwa kweli haijakaa poa, hata mtihan wa form four hakupiga
 
Anasoma magogonii heeeeiii makubwaa labda kanunua cheti
 
Ni kweli lulu kaanza kufanywa akiwa mdogo sana coz kana fight kwa ajiri ya familia mama mwenyewe ndo uyo... mtoto akupelekee shule jmn ndo maana anafanya vitu vya ajabu kahurumie jmn
 
Aaaah aaah eti kaanza kufanywa utotoni
 
Yaani kanivunja moyo, mi natoka chanika had mbagala kutafuta udaku niwaletee humu halaf anasema nime copy, yani binamu asipoleta ushahid kuhus hii thread atanibeba Leo.

warumi ha ha ha yani umenichekesha hadi basi
nimekupenda bure.....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom