Lulu na Ali Kiba katika penzi la milele!

Lulu na Ali Kiba katika penzi la milele!

Haloooo kumbe soko lina mbinu nyingi hivi? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ila Misa mjanja sana, aliona hapa anakaribia kutolewa sokoni na madogo wa namba E akajiongeza kimataifa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Na yule shemeji yetu Sowax sijui wameshaachana? Anaonekana alimpenda masikini!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bora missa anayedanga kimataifa, kikubwa awekezee asije anza juta km Wema.
 
Soko ndio linawatupa mkono mashangazi wetu,wanategemea nguvu ya filter, makeup, vigodoro, waganga na surgery za uturuki. Sasa soko Linaanza kupokea vitoto vya 2000 au wanaitwa namba E. Mtoto mdogo, tako KUUUUBWA 🤣🤣🤣.

2024 mtashuhudia makubwa jinsi mashangazi wengi wa Instagram watakavyo lia njaa na kupanick 🤣🤣🤣. Hapo mange atapiga hela mwaka 2024 mpaka achanganyikiwe 🤣
Kwani kutakuwa na nini 2024 jamani? Mbona unanirusha roho?
Niambie mbea mimi nijiandae.
 
Babu mi semina yako nimeipata na kuizingatiaaaaaa!
Ngoja nijifue kabisa kumfurahisha mtoto wa ma mkwe 🤣🤣🙈
Tangu lini watu wa Kaskazini mkawa na utaratibu wa kupewa seminar za hivyo? Kwenye hili nitakataa hadi mwisho wa Dunia 😜🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Sasa itakuaje anaependwa mwenyew kumbe anae mpenda na yeye apo kuna maisha
Hapo sasa ni kumuomba Mungu tu, maana sio rahisi.
Binafsi nimebahatika tu, sio kwa ujanja wala nini.

Ila, inategemea na namna utakayojiweka kwake pia, akiona unaeleweka anamuacha huyo mwingine anabaki na wewe
🤣🤣🤣
 
Hili halishangazi Mdg wangu wangu, hasa kwa hawa Wasanii wa Bongo

Halafu sikuhizi Ndoa imekuwa mahali pa mchezo

Watu wawili wanakubaliana kabisa kuoa, yaani Mimi naoa na Wewe olewa na Mwanaume flani kimaslahi tu lakini tutaendeleza mapenzi yetu kama kawaida

Anyway, Steven Kanumba apumzike kwa Amani huko alipo.
Mimi hayo mambo siyawezi, kwanza nina wivu sana 🤣🙈
 
Hapo sasa ni kumuomba Mungu tu, maana sio rahisi.
Binafsi nimebahatika tu, sio kwa ujanja wala nini.

Ila, inategemea na namna utakayojiweka kwake pia, akiona unaeleweka anamuacha huyo mwingine anabaki na wewe
🤣🤣🤣
Weeeeeh kakudanganya nani huwa wanapashaga wale utandawazi hadharani
 
Sku ile aliyokufa kanumba..nani alimbeba Lulu wakaenda coco beach?
Ishu ya majay na bdo....inajulikana muda sana...ila mademu wengi sana wanasagana sku hz!
 
Back
Top Bottom