cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bora missa anayedanga kimataifa, kikubwa awekezee asije anza juta km Wema.Haloooo kumbe soko lina mbinu nyingi hivi? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila Misa mjanja sana, aliona hapa anakaribia kutolewa sokoni na madogo wa namba E akajiongeza kimataifa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na yule shemeji yetu Sowax sijui wameshaachana? Anaonekana alimpenda masikini!