byembalilwa
JF-Expert Member
- Aug 7, 2012
- 2,059
- 946
asubir miaka yake saba taslim
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Coco pambana tu na hali yako mwaya... Ya lulu acha yabaki kuwa yakeSiku hizi hata kumsalimu Mama Kanumba kaacha na anamdharau sana.. shame on her, huku alimsaidia sana kuvuka kipindi kigumu alichokipata kipindi kile baada ya kuhusika na kifo cha mwanae.
Khee! Kumbe..Alafu angechagua lawyer mwingine sio yule kibatala na uchadema wake ndio anazidi kujikaanga yeye haoni manji alivyompiga chini kibatala kesi ikaisha hii ngoma imekaa kisiasa pia
Coco pambana tu na hali yako mwaya... Ya lulu acha yabaki kuwa yake
Huyo umri na aliyopitia vinapishana kwa mbaliKisa!!! au hayajawekwa public!?
Jamani tusifanye masihara kwenye masuala kama haya hebu vaa viatu vya huyo msichana lolote laweza kutokea usimcheke mtu huwezi jua kwako itakuwaje ni sawasawa kucheka kifo wakati wewe hujui kesho yakowanazuga tu. Kesi iliisha sema labda bado kukabidhiana hongo.
Etii?Atusamehe kwani si tumekosa nini hapo....labda kama wewe ni muuza Jack Daniel
Kiki zatafutwa kwa njia nyingi mkuu..Lulu ni muigizaji na hapo anaigiza
Huyo umri na aliyopitia vinapishana kwa mbali
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Lulu ni muigizaji na hapo anaigiza