Lulu na mama Steve leo kwenye kaburi la Stephen Kanumba

Lulu na mama Steve leo kwenye kaburi la Stephen Kanumba

Uzuri mahakama huwa haiendeshwi na emotions hizi picha ndio zinamkaanga zaidi kesi imekaa vibaya hata wakisameheana huku mtaani ila jamuhuri lazima imkaange
 
Alafu angechagua lawyer mwingine sio yule kibatala na uchadema wake ndio anazidi kujikaanga yeye haoni manji alivyompiga chini kibatala kesi ikaisha hii ngoma imekaa kisiasa pia
 
Siku hizi hata kumsalimu Mama Kanumba kaacha na anamdharau sana.. shame on her, huku alimsaidia sana kuvuka kipindi kigumu alichokipata kipindi kile baada ya kuhusika na kifo cha mwanae.
Coco pambana tu na hali yako mwaya... Ya lulu acha yabaki kuwa yake
 
Alafu angechagua lawyer mwingine sio yule kibatala na uchadema wake ndio anazidi kujikaanga yeye haoni manji alivyompiga chini kibatala kesi ikaisha hii ngoma imekaa kisiasa pia
Khee! Kumbe..
 
Muda wa kufa ukifika umefika tu tuache kumbeba lulu kama muuaji wa kanumba!
Muda wake ulifika tu.
 
miaka yote hiyo walikua wamachunguza tu sababu za kifo au ilikua kisahaulishana.
 
wanazuga tu. Kesi iliisha sema labda bado kukabidhiana hongo.
Jamani tusifanye masihara kwenye masuala kama haya hebu vaa viatu vya huyo msichana lolote laweza kutokea usimcheke mtu huwezi jua kwako itakuwaje ni sawasawa kucheka kifo wakati wewe hujui kesho yako
 
Huyo umri na aliyopitia vinapishana kwa mbali

Mshana usianze kwa mbali mwaga tu maana nakumbuka utata wa miaka yake.. mie niliyasomea humu na kumjua yeye na hata huyo Late Kanumba kipindi hicho

Si umeoma leo anasoma kukremisha majibu maana... kuna makubwa sanaaaaaa

JF izidi kudumu
 
Back
Top Bottom