Lulu na Wolper ni wakopaji maarufu

anajitia kutokuelewa ila anajua sana. duhh kumbe shule imenadiwa?? me niko wapi? basi tusubirie madeni hadi majina yabandikwe kwenye mbao za manispaa
 
Acha kuishi kwa hisia wewe!!!
Unaweza kuthibitisha hayo unayoyasema?????
Wolper na Lulu wamewahi kukuuzia hizo K?????
Dalali Steve Nyerere. Kama una pesa ukiwakosa hawa wewe una mkosi ukaoge maji ya bahari.
 
wolper anaongoza kukopa nshaskia sehemu flani hv dukani
nlichekaaa...!!!
 
Hahahahaha eti hadi kwenye kijambio
 
Hivi mbona unaoenda kushuhudia uongo mdau?????
Wapo wanawake wanaouza K lakn si Lulu na Walper.

shost mbona unawetetea sana unamjua joan wewe...?!
kashaonyesha hadi msa za wolper za.mikopo
km ndo wewe.nakushauri ishi maisha yako!
 
mie sijambo, niko kijiweni kama kawa kama dawa. huyu anajitia kutokuelewa ila anajua sana. duhh kumbe shule imenadiwa?? me niko wapi? basi tusubirie madeni hadi majina yabandikwe kwenye mbao za manispaa
 
shost mbona unawetetea sana unamjua joan wewe...?!
kashaonyesha hadi msa za wolper za.mikopo
km ndo wewe.nakushauri ishi maisha yako!

hahaha amesema eti kwa status yao....ipi hiyooo ya kupaka poda au
 
shost mbona unawetetea sana unamjua joan wewe...?!
kashaonyesha hadi msa za wolper za.mikopo
km ndo wewe.nakushauri ishi maisha yako!

Mimi cyo Wolper wala Lulu ila tu cpendi kuona mtu anadhalilishwa kwa chuki binafsi tu za mtu!!!

Hawa wasanii wote nawajua vizuri sana na hata kama inatokea kukwama kimaisha,hawawezi kufikia huko mnakosema.
Yaani cwezi kuamini hata cku moja hizo tuhuma zenu kwao maana hakuna mtu hata mmoja mwenye uhakika na uthibitisho wa hayo mnayoyasema.
 
Acha kuishi kwa hisia wewe!!!
Unaweza kuthibitisha hayo unayoyasema?????
Wolper na Lulu wamewahi kukuuzia hizo K?????
Dalali Steve Nyerere.

Ukiwa na cash na ukawakosa hao basi una nuksi ukaoge maji ya bahari.
 
kumjua hata si kumfahamu!!
unaweza kua unamjua lakini privacy yake huijui km mke au mume wanacheat sembuse huyo wolper na lulu kwako wewe labda shosti tu!!
we bora unyamaze tuu!!!
kwani kuna celebrities wangapi bongo mbona hawajatajwa wasingiziwe wao ndo akina nani labda..?!!
huyo wolper hata christmass kumi mjini hajafikisha ndo mana mshamba mshamba...!!!
 
Jamani tunatofautiana watu wanakopa hadi kucha, mmmmhhh wasanii kweli wamefulia

hawana lolote ndo zao misifa films!
kwanza wolper kashapigwa mtungo na watu saba kwa tabia yake ya kuchanganya mabwana!!
 
kwa status gani labda aliyonayo wolper..??!!!
kuachwa na mbwana kila siku au kubadili badili dini ili atafte ndoa...?!!

kwa ufupi bila mabuzi mjini hakukaliki kwa hawa wasanii wenu. muone shoga yangu wema alivyokuwa mpole, no more show off za kutapanya hela toka buzi clement likate kamba
 
kwa ufupi bila mabuzi mjini hakukaliki kwa hawa wasanii wenu. muone shoga yangu wema alivyokuwa mpole, no more show off za kutapanya hela toka buzi clement likate kamba

Toka awe na baba ubaya hatujasikia akiwatunza wasanii jukwaani kawa mpole kweli
 
Mbona Sie Tukiwakopa URODA wanakuwa Wakali..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…