Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
- Thread starter
- #41
anajitia kutokuelewa ila anajua sana. duhh kumbe shule imenadiwa?? me niko wapi? basi tusubirie madeni hadi majina yabandikwe kwenye mbao za manispaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dalali Steve Nyerere. Kama una pesa ukiwakosa hawa wewe una mkosi ukaoge maji ya bahari.Acha kuishi kwa hisia wewe!!!
Unaweza kuthibitisha hayo unayoyasema?????
Wolper na Lulu wamewahi kukuuzia hizo K?????
Ujambo Mrembo? yaani hili jinga linaleta utetezi wa mavi kunuka wakati hajui huyo Kapteni Komba ndio mdau wa Lulu yeye mwenyewe ana madeni hadi kwenye kijambio mpaka shule yake imepigwa mnada huyo Lulu pesa apate wapi?
Asichokielewa huyu usanii kwao ni kama Cover story tu ya kutakatishia pesa za kuuza K.
Hivi mbona unaoenda kushuhudia uongo mdau?????
Wapo wanawake wanaouza K lakn si Lulu na Walper.
Wolper ana status gani nchini
Ujambo Mrembo? yaani hili jinga linaleta utetezi wa mavi kunuka wakati hajui huyo Kapteni Komba ndio mdau wa Lulu yeye mwenyewe ana madeni hadi kwenye kijambio mpaka shule yake imepigwa mnada huyo Lulu pesa apate wapi?
Asichokielewa huyu usanii kwao ni kama Cover story tu ya kutakatishia pesa za kuuza K.
shost mbona unawetetea sana unamjua joan wewe...?!
kashaonyesha hadi msa za wolper za.mikopo
km ndo wewe.nakushauri ishi maisha yako!
shost mbona unawetetea sana unamjua joan wewe...?!
kashaonyesha hadi msa za wolper za.mikopo
km ndo wewe.nakushauri ishi maisha yako!
kuuza tigo kumbe nayo status?? Me niko dunia nyingine kumbe
Dalali Steve Nyerere.Acha kuishi kwa hisia wewe!!!
Unaweza kuthibitisha hayo unayoyasema?????
Wolper na Lulu wamewahi kukuuzia hizo K?????
wolper anaongoza kukopa nshaskia sehemu flani hv dukani
nlichekaaa...!!!
Mimi cyo Wolper wala Lulu ila tu cpendi kuona mtu anadhalilishwa kwa chuki binafsi tu za mtu!!!
Hawa wasanii wote nawajua vizuri sana na hata kama inatokea kukwama kimaisha,hawawezi kufikia huko mnakosema.
Yaani cwezi kuamini hata cku moja hizo tuhuma zenu kwao maana hakuna mtu hata mmoja mwenye uhakika na uthibitisho wa hayo mnayoyasema.
hahaha amesema eti kwa status yao....ipi hiyooo ya kupaka poda au
Samahan mdau ni wakala au freelancer?
Jamani tunatofautiana watu wanakopa hadi kucha, mmmmhhh wasanii kweli wamefulia
kwa status gani labda aliyonayo wolper..??!!!
kuachwa na mbwana kila siku au kubadili badili dini ili atafte ndoa...?!!
kwa ufupi bila mabuzi mjini hakukaliki kwa hawa wasanii wenu. muone shoga yangu wema alivyokuwa mpole, no more show off za kutapanya hela toka buzi clement likate kamba
Mbona Sie Tukiwakopa URODA wanakuwa Wakali..