Lulu na Wolper ni wakopaji maarufu

Miye niliuona nataka kucomment siuoni tena nikajua umeshafutwa na kuzurura majukwaa mengine uvivu basi nitaanza kwenda majukwaa mengine

Mi ndo nilijaribu kuzurula majukwaa mengine wapi, humu naona ndo mahala pake
 
team warumi full kukulia urudi
ila jitahd kucontrol hasira tafadhali

Ntajitahidi, maana mdomo huu na wenyew sasa ivi umekuwa too much had najiogopa sasa najitahid nashindwa, inabid nikafanyiwe maombi
 
Maintaining status ! Ujinga Mtupu , huyo Wolper alijitangaza kwa Sporah anashonea Weaving la Milioni Mbili ! usawa huu ! ! Mnachekesha sana Bandugu:hatari:!

Wanataka kujiweka juu ili wanaowatongoza wawe wanakata mkwanja mrefu kwa kudhani wametongoza high class kumbe ukanjanja.
Mtoto akikuambia hii gauni nimenunua laki na nusu hategemei siku nyingine umpe
Shilingi eflu 30 ya gauni lazma utoe zaidi ya lile la mwanzo.
 
mbwembwe zote zile kwenye ma TV show nywele za mamilioni, kumbe mikopo, toba yarabi....!!! nimechokaje mie. Si wakope wajenge majumba jamani.... unakopa minywele na makucha bandia. Kweli akili ni nywele, kila mtu ana zake...!!!
 
Mimi waje,nitawakopesha kwa masharti nafuu.
 

Una sound kama mwanga flani....Yani jinsi unavyoongea kwa uchungu umebakisha kuwaroga tu maana kuwafikia unajua will never happen. Pole sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…