warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
ipo jukwaa la congrat,advice kule utaikuta
duh kweli mlinikumbuka ebu nikachungulie michambo ya haja maana najua akina msogoti hawakos kule
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ipo jukwaa la congrat,advice kule utaikuta
ipo jukwaa la congrat,advice kule utaikuta
Miye nilijua imeshatolewa, binamu unatembea ngoja niende nikaangalie
duh kweli mlinikumbuka ebu nikachungulie michambo ya haja maana najua akina msogoti hawakos kule
nlienda mie tenaaa!!!
team warumi4eva!!!
Nawewe uliyeuliza umesemwa wewe au ni kiherehere cha kwapa??
Miye niliuona nataka kucomment siuoni tena nikajua umeshafutwa na kuzurura majukwaa mengine uvivu basi nitaanza kwenda majukwaa mengine
aah....!!wapi!!
msogoti hana ubavu wa kufika kule tulikua wenye hadhi zetu tu!
Miye niliuona nataka kucomment siuoni tena nikajua umeshafutwa na kuzurura majukwaa mengine uvivu basi nitaanza kwenda majukwaa mengine
Mi ndo nilijaribu kuzurula majukwaa mengine wapi, humu naona ndo mahala pake
Kule mlikuwa first class tu, hapana chezeya, mlitishaaa
Umeona binamu eeeh huku ndo mwake
team warumi full kukulia urudi
ila jitahd kucontrol hasira tafadhali
Maintaining status ! Ujinga Mtupu , huyo Wolper alijitangaza kwa Sporah anashonea Weaving la Milioni Mbili ! usawa huu ! ! Mnachekesha sana Bandugu:hatari:!
Wolper is the best Actress in Tanzania.
Acha kujitia usakala wewe,au akili zako ndo zimekaa huko kwenye mambupu??Kwa usanii gani unaowapa pesa za kuishi maisha ya anasa kiasi hicho?Wangekuwa na hela wangeogelea skendo za ukahaba kila siku?Nina mashaka unasagwa na Wolper sio bure mwanaume anaejielewa kutetea ujinga.Tunajua madanga ndo yanawaweka mjini sio kazi.