mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,222
- 4,689
Vyote.Deodorant inaondoa jasho au harufu ya jasho?
Akikujibu niambie mkuu.Deodorant inaondoa jasho au harufu ya jasho?
Sijui unayotumia wewe, ila ninazo tumia mm ni anti- perspirant mkuu, yaani zinazuwia jasho.
Toa somo naona wengi hawajui usiwaone wasumbufu elimu elimu elimuSijui unayotumia wewe, ila ninazo tumia mm ni anti- perspirant mkuu, yaani zinazuwia jasho.
Kwa hiyo ina gundi ya kuziba vitundu kwenye vinyweleo ili jasho lisitoke..yaani uchafu unarudi ndani au sijakuelewa??Sijui unayotumia wewe, ila ninazo tumia mm ni anti- perspirant mkuu, yaani zinazuwia jasho.
Anti perspirant deodarants huwa zinafanya kazi kwa kuzuia jasho kutoka kwenye ngozi. Nyingi huwa zina aluminium inayofanya kazi yakuziba yale matundu (pores) ambapo jasho hutokeaToa somo naona wengi hawajui usiwaone wasumbufu elimu elimu elimu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni aluminium inayoziba matundu kwenye sehemu uliyopaka yaani kwenye makwapa ili jasho lisivuje. Ila haizuwii mwili ku sweat sehemu nyengine.Kwa hiyo ina gundi ya kuziba vitundu kwenye vinyweleo ili jasho lisitoke..yaani uchafu unarudi ndani au sijakuelewa??
Haaha ata mm nlikuwa nawaza ivo how comes mtu uzuie Jasho?Kwa hiyo ina gundi ya kuziba vitundu kwenye vinyweleo ili jasho lisitoke..yaani uchafu unarudi ndani au sijakuelewa??
Sasa we kuzuia jasho huoni tatizo tayari hapoSijui unayotumia wewe, ila ninazo tumia mm ni anti- perspirant mkuu, yaani zinazuwia jasho.