Lulu ni staa asiyejua matumizi ya deodorant

Lulu ni staa asiyejua matumizi ya deodorant

mr gentleman

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
3,222
Reaction score
4,689
9b870eb3228761d7ea0234118faaa93a.jpg
15a9c15483fa042b7017ee6ea40e3a38.jpg

Inakuwaje staa kama Lulu anakubali kuweka ramani ya jasho kwenye kikwapa? Inamaana hajui matumizi ya deodorant wajuzi wamsaidie?
 
Kwa hiyo ina gundi ya kuziba vitundu kwenye vinyweleo ili jasho lisitoke..yaani uchafu unarudi ndani au sijakuelewa??
Ni aluminium inayoziba matundu kwenye sehemu uliyopaka yaani kwenye makwapa ili jasho lisivuje. Ila haizuwii mwili ku sweat sehemu nyengine.
 
kuna baadhi ya deodorant zinakausha so kwapa linakuwa dry na nyingine zinazuia harufu mbaya ukienda kwa watu waaminifu wa cosmetic watakuelezea vizuri
 
Kwa hiyo ina gundi ya kuziba vitundu kwenye vinyweleo ili jasho lisitoke..yaani uchafu unarudi ndani au sijakuelewa??
Haaha ata mm nlikuwa nawaza ivo how comes mtu uzuie Jasho?
[emoji2] [emoji2]

Sent from Siemens Social Phone
 
Back
Top Bottom