Lulu ni staa asiyejua matumizi ya deodorant

Kuzuia jasho kwa muda haina madhara jamani, mbona tunazuia kwa muda vitu vingi tu km kunya, kukojoa na hata sex hatudhuriki, sasa vipi kwa wale wanaoishi sehemu za baridi Kali, khaaa nitaitafuta hiyo soon

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenena

Simpi Kiki kunguni wa mwendokasi
 
Anti perspirant deodarants huwa zinafanya kazi kwa kuzuia jasho kutoka kwenye ngozi. Nyingi huwa zina aluminium inayofanya kazi yakuziba yale matundu (pores) ambapo jasho hutokea
Kuziba matundu ya jasho na kuzuia jasho lisitoke kwenye ngozi mbaya zaidi kiafya kuliko kutokutumia hizo deodarants!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…