Lulu ni staa asiyejua matumizi ya deodorant

Lulu ni staa asiyejua matumizi ya deodorant

Jasho kutoka ndio afya, kulizuia ni kupingana na Muumbaji na kukaribisha matatizo ya kiafya.
 
Katakua kaligonga beer mchana wa jua kali...
 
Hii haina uhusiano na kutokujua kutumia deodorant kabisa maana haina uwezo wa kuzuia kulowa kwa nguo..
Hii mara nyingi huchangiwa na kutofanya usafi sehemu za makwapa na kuacha nywele na ukitoka jasho linabebwa na nywele hizo na kulowesha nguo..
Asilimia 80% ya watu wanaolowa makwapa wanakuwa hawajanyoa nywele za makwapa!
Kwa hiyo Lulu hapo alikuwa hajanyoa nywele za makwapa...
Basi hata hapo chini kalowa ...atizamwe vizuri...
 
9b870eb3228761d7ea0234118faaa93a.jpg
15a9c15483fa042b7017ee6ea40e3a38.jpg

Inakuwaje staa kama Lulu anakubali kuweka ramani ya jasho kwenye kikwapa? Inamaana hajui matumizi ya deodorant wajuzi wamsaidie?
yaani wewe ni Gentleman unafatilia maisha ya mwanamke huyu! hawa ndio waliofanya interview ya TRA halafu hawaijui AGOA (African Growth Opportunity Act)
 
Anti perspirant deodarants huwa zinafanya kazi kwa kuzuia jasho kutoka kwenye ngozi. Nyingi huwa zina aluminium inayofanya kazi yakuziba yale matundu (pores) ambapo jasho hutokea
Hiii hawezi kua na side effects kweli mkuu..?
 
Makwapa si sehemu pekee ya mwili kutoa jasho. The skin is the largest organ of the human body na yote ina sweat pores, sehemu ya kwapa ni ndogo sana kuleta hayo madhara makubwa unayozungumzia.
Kwa hiyo unadhani unaweza toa haja kubwa kupitia njia ya haja ndogo. Mungu sio mjinga!
 
Kwa hiyo unadhani unaweza toa haja kubwa kupitia njia ya haja ndogo. Mungu sio mjinga!
Kwahiyo wewe jasho linatokea kwapani tu?? Kasome kidogo kuhusu ngozi na kazi yake. Ngozi ya kichwa(scalp) ina sweat glands nyingi kuliko hayo makwapa. Hata hivyo mm nimechagua kupaka deodorant na ww kama umechagua kutokupaka sio kesi mkuu. Utakuta unapaka lotion wakati ngozi ina mafuta ya asili.... Mungu si mjinga!
 
Wewe mpaka lotion ndio ujue Mungu sio mjinga!
 
Sijui unayotumia wewe, ila ninazo tumia mm ni anti- perspirant mkuu, yaani zinazuwia jasho.
Ukianza dalili za awali za kansa njoo nikuanzishie kliniki maana manufacturer alikuweka matundu yatoe jasho wewe unayaziba kwa sababu ya ujuaji.
 
9b870eb3228761d7ea0234118faaa93a.jpg
15a9c15483fa042b7017ee6ea40e3a38.jpg

Inakuwaje staa kama Lulu anakubali kuweka ramani ya jasho kwenye kikwapa? Inamaana hajui matumizi ya deodorant wajuzi wamsaidie?

Si kweli, Bongo hakuna staa wa ukweli......asilimia kubwa ya uwajuao wewe ni wababaishaji tu. Tatizo kubwa la mademu wa kibongo ni kunuka sehemu za siri, makwapa, na mdomo. Lulu hayuko peke yake.
 
Ivi lulu anafanya kazi gani vile?[emoji6][emoji6] nakumbuka movie yake ya mwisho aliitoa 2011 ina maana hadi Leo ni SUPASTAA?? basi hata Sista P na kaka Mani nao ni Masupastaa.
 
Back
Top Bottom