hajaepuka adhabu ya kunyongwa, hajawahi kuwa convicted.ameepuka adhabu ya kunyongwa hadi kufa
Mwananchi la Jumanne 18, Desemba 2012
hajaepuka adhabu ya kunyongwa, hajawahi kuwa convicted.
Magazeti yetu yanatuandikia madudu.
Kwa nchi za wenzetu nadhani angeachiwa huru kabisa , maana wenzetu huwa hawana muda wa kuendesha kesi za kusadikika zisizo na ushahidi kama hii ya Lulu ambayo mwisho wa kesi hii hukumu yake itakuwa Lulu kuachiwa huru.Sioni kufungwa mtu maisha au kunyongwa hapa.....I just feel
Hivi wana ushahidi gani kwamba hata aliua bila kukusudia?
Hii kesi tokea mwanzo mi nilisema hana kesi ya kujibu.
hajaepuka adhabu ya kunyongwa, hajawahi kuwa convicted.
Magazeti yetu yanatuandikia madudu.
Japo namuonea huruma, lakini mnakumbuka wanajeshi watatu waliohukumiwa kifo kwa kuhisiwa wamemuua mtoto wa Fundikira kama mwezi umepita sasa? Walikuwa ni watu wa mwisho kuwa na marehemu na hakukuwa na evidence concrete zaidi ya hiyo. Mimi sio mwanasheria, lakini tunayaona sana hayo.
Ila majaji hawaku mfungulia lulu mashtaka + sio kazi yao ni kazi ya waendesha mashtakamajaji wengi wa Kikwete ni vilaza. Utamfunguliaje mtu mashitaka kama hakuna ushahidi tosha?