Lulu sasa abadilishiwa mashtaka

Lulu sasa abadilishiwa mashtaka

hapa tunasema sheikh Ponda KUTENGENEZEWA KIBALI NA DPP ILI KUMKOMOA KWA KUWA NI SHEIKH LEO HUYO HUYO ANABADILISHA KESI YA MAUJI ILI YAWE SIO MAUJI

Sasa kama hoja ndo hiyo, Lulu kaingiaje. Afu nlifikiri ulikosea kwa bahati mbaya lakini naona umerudia maranyingi siyo "mauji" we kilaza.... ni "mauaji"
 
Kuunganisha Kesi ya Lulu na ya Ponda ni kichekesho cha mwisho wa mwaka. Mbaya zaidi ni kuingiza mambo ya Udini kwenye hizi kesi.

Mbona alichofanyiwa Lulu hakina tofauti sana na alichofanyiwa marehemu Ditopile? Je kama watu wangesema kuwa bwana Zombe aliachiwa kwa kuwa waliouwawa walikuwa ni Wakristo ingeingia akilini kwako?
Mimi sio mwanasheria, ila kuna jambo moja la msingi ninaloliona: Kuna tatizo kubwa kwenye mfumo wetu wa sheria. Tatizo hilo halitokani na Udini bali linachangiwa kwa kiasi kikubwa na ukosefu wa uadilifu.

tatizo kwenye sheria lipo tena kubwa na hili lasababishwa na katiba lawyers wote wanajua kuwa katiba ndo mother law so watemea kama mother law ni mbovu wat else utapata kwenye hizo sheria ndogo
 
Kokoto vs mauji wapi na wapi? kesho utasikia DPP atoa kibali haraka Lulu ELIZEBETH apewe dhamana bila ya mashari huku KIBALI cha sheikh ponda kikiengezwa muda zaidi. HUYO Ndio DPP wetu wa tanzania
 
Hujatafakari vizuri Babamamakakadada, Issue ya Sheikh Ponda sio kesi ya wizi wa kokoto tu, huyu Mwalimu wetu wa dini anazuliwa kwa ajili ya uchochezi. Ni heri aliyekwisha ua mtu mmoja kulikoni mchochezi wa kusababisha ghasia ambazo hujui zitaua watu wengine wangapi. Kinga ni bora kuliko tiba
 
kuna watu na viatu humu kufananisha hz kesi na hatua zilizochukuliwa ni jambo la ajabu, Ponda wengi walimshindwa at least sasa anajua sheria ipo katulia kama maji ya mtungi sasa, aliyoyafanya kidongo chekundu tuliona ya changombe tuliona alieona ya Lulu na Kanumba rip nchumbani ni nani? C ajabu statement ya mwanzo ya Lulu pale oysterbay ndo imechelewesha maamuzi haya kufikiwa....ntaendelea bdae
 
Suji kuna mantiki gani mtu anaetuhumiwa kwa mauji ya kukusudiwa ELIZABETH MICHAEL 'LULU' leo anabadilishiwa kesi na kuambiwa kaua bila ya kukusudia Huku sheikh Ponda mwenye kesi ya kuiba kokoto Kinatengenezwa kikabali ili asitoke ndani

HALAFU WANASIASA NA VIONGOZI WA KITAIFA WANATAKA WANANCHI TUSIJIGAWE KWA MISINGI YA UDINI. UDINI GANI WANAOUZUIA HUKU WATENDAJI WAKE WAKIONAKANA KUUMBATIA UDINI MAOFISINI? MWANANCHI GANI ATASIKILIZA NYIMBO YENU WAKATI WENYEWE HAMUICHEZI?

pondaaaaaaaaaa.jpg

Ponda akifungwa pingu. Lulu akidunda bila ya Pingu na sasa mambo yake poa

akilia-lulu.jpg

kwani wewe unaona cha ajabu ni nini? Kama wezi wa kuku wanapigwa na jaji nyundo 10 na kuwaacha mafisadi wakitanua kitaa, sembuse hili. Yanayotokea Tz hayatokei sehemu
yoyote ya dunia na yanayotokea sehemu nyingine ya dunia pia hayatokei Tz
 
Kokoto vs mauji wapi na wapi? kesho utasikia DPP atoa kibali haraka Lulu ELIZEBETH apewe dhamana bila ya mashari huku KIBALI cha sheikh ponda kikiengezwa muda zaidi. HUYO Ndio DPP wetu wa tanzania

Inawezekana una hoja mkuu lakini hueleweki unapong'ang'ania kuwaunganisha Lulu na Shehe Ponda.
 
Inawezekana una hoja mkuu lakini hueleweki unapong'ang'ania kuwaunganisha Lulu na Shehe Ponda.
mimi bado naamini kuna udini. Kilichomsibu Ponda ni kusema anataka akamgone Dk Ndalichako wa NECTA kwani inawahujumu waislam. harakati za Ponda Zinawaudhi baadhi ya watendaji wasiofata maadili ya kitanzania. hili limewakera sana baadhi ya watendaji waliofaidikia na mfumo wa NECTA. sidhani kama kokoto
 
Twenzetu mwalimu wangu. Huku hakutufai hata kidogo.

Twende ukanambie kwanini ulinitoroka kabla sijakupa haki yako? Ah mwalimu Mashallah wewe...... Acha tu.

hahahahahhahahahhaha mwalimu maridhia sio !darasa litaenda kweli?
 
Nadhani hata hiyo amri ya sita huifahamu, maana ni 'usizini' (sasa labda maana ya kuzini ni ngumu kwako). Sina maana kwamba kufanya ngono kabla ya kuoa ni halali, ila Lulu hakuzini, kama alikuwa anafanya ngozo (maana sina uhakika kwenye hili, sijawahi kuwachungulia) basi amefanya uasherati.

Ni mtoto kwa ajili ya umri wake.

kwahiyo mtoto alimuua mtoto mwenzake au siyo? Acha kutetea zinaa wewe!
 
DPP Feleshi hamna kitu ndio maana hajiamini anaishia kufanya maamuzi kwa maelekezo ya wafanyabiashara na wanasiasa.
 
ubongo mwingine bwn yaan ni kujaza kichwa tu kiwe cha duara.
udini upi? udhaifu sio udini ndugu.
ebu nijuze yule aliyechochea wizi na uharibifu wa makanisa anashtakiwa kwa kosa la kuvamia kiwanja cha muislam, wakrisv walitendewa haki?
 
Suji kuna mantiki gani mtu anaetuhumiwa kwa mauji ya kukusudiwa ELIZABETH MICHAEL 'LULU' leo anabadilishiwa kesi na kuambiwa kaua bila ya kukusudia Huku sheikh Ponda mwenye kesi ya kuiba kokoto Kinatengenezwa kikabali ili asitoke ndani

HALAFU WANASIASA NA VIONGOZI WA KITAIFA WANATAKA WANANCHI TUSIJIGAWE KWA MISINGI YA UDINI. UDINI GANI WANAOUZUIA
HUKU WATENDAJI WAKE WAKIONAKANA KUUMBATIA UDINI MAOFISINI? MWANANCHI GANI ATASIKILIZA NYIMBO YENU WAKATI WENYEWE HAMUICHEZI?

pondaaaaaaaaaa.jpg

Ponda akifungwa pingu. Lulu akidunda bila ya Pingu na sasa mambo yake poa

akilia-lulu.jpg


Ambao ni Jakaya Kikwete na Said Mwema...
 
Sijui hata kesi ya yule mtoto aliekojolea Qurani haijabadilishwa na kuambia kakojolea daftari lenye maandishi ya kiarabu. DPP watz bana. bora katiba mpya iseme asitoke dini yoyote ile
 
Yani tukianza kuingiza udini kwa kila jambo hatutafika. Mwisho wa siku hata kwenye daladala itakuwa ni wapande waislam nusu na wakristo nusu. Sasa wapagani sijui wataenda kwa mguu au la. Boqa JF tungekuwa tunatumia majina halisi kuliko hivi kila mtu anaamua tu kuanzisha threads ambazo mwisho wake mbaya
 
ubongo mwingine bwn yaan ni kujaza kichwa tu kiwe cha duara.
udini upi? udhaifu sio udini ndugu.
ebu nijuze yule aliyechochea wizi na uharibifu wa makanisa anashtakiwa kwa kosa la kuvamia kiwanja cha muislam, wakrisv walitendewa haki?

Yule mtoto alekojolea qurani kesi yake haijafutwa? mara utasikia dpp kaona hakuja haja ya kuendelea nayo. Nchi hii tunapinga udini majukwani, maofisini tumeoza
 
hahahahahhahahahhaha mwalimu maridhia sio !darasa litaenda kweli?

Litaenda hivyohivyo si nimedhamiria kufaulu? Ila nawee usinifanyie makusudi mwanafunzi wako. Nikijitolea kufeli usinilaumu lol..
 
Kokoto vs mauji? kweli amani ya tanzania inatoka kwa Mungu muumba sio sera ya watawala
 
Back
Top Bottom