Lulu sasa abadilishiwa mashtaka

Lulu sasa abadilishiwa mashtaka

Acha ushabiki msio na msingi...Kuna kanuni inayotumika katika kushikilia watu, kuwafungulia mashtaka, kuwahukumu au kuwaachia watu. Kama una ushahidi kuwa Lulu ni muuaji au Sheikh Ponda hana hatia kwa tuhuma zinazomhusu ni vyema usaidia Jamhuri mkuu kufikia haki.
 
Ukifuatilia mlolöngo ya maelezo ya mdogo wake kanumba utaona kuwa Lulu hakukusudia. Ukiwa na itkadi ya kidini uwezi fikiri vizuri, fikiria bei ya nondo zilizoibiwa na uchochezi uliosababisha makanisa kuchomwa
 
Kwa akili za mtoa mada atasema kuna udini, Shekh ponda ni nani katika nchi hii mpaka atoe amri kwa amiri jeshi mkuu wa nchi Rais wetu tulie mchagua siku 7 kutimiza matakwa yake. Kama si busara za serikali kumweka kizuizini huyu shekh fake Dar tungekuwa wapi sasa? kumnyima dhamana Ponda ni zaidi ya usalama wa Taifa. Ngoja kwanza tupime mwenye nguvu kati ya yeye na Rais.

Mtoa mada anajua sana sheria mpaka anasema Lulu aliua kwa kukusudia, je lulu alimpiga mara ngapi marehemu, au alikamatwa na siraha aina gani na wapi?

Acheni sheria ifanye kazi yake.
 
Sasa kwanini hakushtakiwa kwa kuchoma moto makanisa? KWA HIVYO DPP kaumia kwa kuchomwa moto makanisa?Mbona hakuumia kukojolewa qurani? yule mtoto tunasikia kesi yake ishafutwa.
 
Chunga sana ndugu siku zote BUSARA haipindui SHERIA, hakuna kitu kinaitwa nia NJEMA ili kuvunja sheria, wacha haki ifuate mkondo wake kama ambavyo magerezani wamejaa ndugu na jamaa zetu wasiokuwa na majina ya kubadilishiwa mashtaka au kesi zao kupelekwa kwa speed ya Jet.Double standard ni msingi wa uvunjifu wa amani.

Mimi sio mwanasheria ila naamini kwamba, kazi ya sheria ni kusimamia haki. Hivyo basi katika jamii kama ya kwetu ambapo haki haitolewi kwa haki bali kwa wenye nacho na wasionacho hata haki yao hunyang'anywa, Sheria ni takataka zilizopangwa na kuwekwa kwa heshima. Sheria gani unazoongelea hapa bongo wakati kuna mwanasheria kathibitisha pasi shaka kuwa kuna wanasheria ambao wanasimamia sheria lakini hawana sifa za kusimamia sheria lakini mpaka leo hii wanasimamia sheria?
Natamani sana BUSARA ipindue sheria katika nchi hii. Tumefika hapa tulipo kwasababu tuna wanasheria wengi na wenye busara wachache.
 
kwahiyo mtoto alimuua mtoto mwenzake au siyo? Acha kutetea zinaa wewe!

Khe! Yaani pamoja na kuandika lugha nyepesi bado umeelewa kwamba natetea zinaa! Hapa nadhani umeshindwa kunielewa kabisa. Nimesema, Lulu hawezi kuwa amezini kwa kuwa hajaolewa, ila kama kweli huwa anafanya ngono na hao inaosemekana anashiriki nao, basi amefanya uasherati . Uasherati pia ni dhambi mbele za Mungu.
 
Suji kuna mantiki gani mtu anaetuhumiwa kwa mauji ya kukusudiwa ELIZABETH MICHAEL 'LULU' leo anabadilishiwa kesi na kuambiwa kaua bila ya kukusudia Huku sheikh Ponda mwenye kesi ya kuiba kokoto Kinatengenezwa kikabali ili asitoke ndani

HALAFU WANASIASA NA VIONGOZI WA KITAIFA WANATAKA WANANCHI TUSIJIGAWE KWA MISINGI YA UDINI. UDINI GANI WANAOUZUIA HUKU WATENDAJI WAKE WAKIONAKANA KUUMBATIA UDINI MAOFISINI? MWANANCHI GANI ATASIKILIZA NYIMBO YENU WAKATI WENYEWE HAMUICHEZI?

pondaaaaaaaaaa.jpg

Ponda akifungwa pingu. Lulu akidunda bila ya Pingu na sasa mambo yake poa

akilia-lulu.jpg

Kwa akili za mtoa mada atasema kuna udini, Shekh ponda ni nani katika nchi hii mpaka atoe amri kwa amiri jeshi mkuu wa nchi Rais wetu tulie mchagua siku 7 kutimiza matakwa yake. Kama si busara za serikali kumweka kizuizini huyu shekh fake Dar tungekuwa wapi sasa? kumnyima dhamana Ponda ni zaidi ya usalama wa Taifa. Ngoja kwanza tupime mwenye nguvu kati ya yeye na Rais.

Mtoa mada anajua sana sheria mpaka anasema Lulu aliua kwa kukusudia, je lulu alimpiga mara ngapi marehemu, au alikamatwa na siraha aina gani na wapi?

Acheni sheria ifanye kazi yake.
 
mahakama inatakiwa kuweka mkazo kwny sheria mana wacpoweka mkazo hapo kwny kesi kutatokea na uvunjwaj wa sheria ambapo mmoja atafaidika wakat mwngn anaumia k2 ambacho co kzur
 
How I hate Udini.... basi tu... Bora hata jinsia,na ukabila mara elfu!
 
hii nilijuaga siku nyingi sana!!atapigishwa faini tu au miaka michache jela then atatoka kwa msamaha wa rais!2015 haifiki
 
duh!!watu mna roho za kwanini yaani hamuishi kulalamika?!!!kwa hyo ishu ya lulu na ponda vina uhusiano gani?mwacheni mtt apewe dhamana kwani akishinda kesi we inakuuma sana eeh!!!kweli watu wengne mmezidi sasa dah!!
 
Mimi sio mwanasheria ila naamini kwamba, kazi ya sheria ni kusimamia haki. Hivyo basi katika jamii kama ya kwetu ambapo haki haitolewi kwa haki bali kwa wenye nacho na wasionacho hata haki yao hunyang'anywa, Sheria ni takataka zilizopangwa na kuwekwa kwa heshima. Sheria gani unazoongelea hapa bongo wakati kuna mwanasheria kathibitisha pasi shaka kuwa kuna wanasheria ambao wanasimamia sheria lakini hawana sifa za kusimamia sheria lakini mpaka leo hii wanasimamia sheria?
Natamani sana BUSARA ipindue sheria katika nchi hii. Tumefika hapa tulipo kwasababu tuna wanasheria wengi na wenye busara wachache.

By Shori MN
Upo sahihi mkuu
 
hii nilijuaga siku nyingi sana!!atapigishwa faini tu au miaka michache jela then atatoka kwa msamaha wa rais!2015 haifiki

Sio ulijuaga.. Hakukuwa na mauaji.. na kila mtu alilijua hilo..
Sema tabia za Lulu zinawachukiza wengi. Lakini kuhusu Kanumba,hakuuwawa na mpenzi wake. Na amuue kwa nia ipi,arithi mali au..
 
Back
Top Bottom