hapa tunasema sheikh Ponda KUTENGENEZEWA KIBALI NA DPP ILI KUMKOMOA KWA KUWA NI SHEIKH LEO HUYO HUYO ANABADILISHA KESI YA MAUJI ILI YAWE SIO MAUJI
Kuunganisha Kesi ya Lulu na ya Ponda ni kichekesho cha mwisho wa mwaka. Mbaya zaidi ni kuingiza mambo ya Udini kwenye hizi kesi.
Mbona alichofanyiwa Lulu hakina tofauti sana na alichofanyiwa marehemu Ditopile? Je kama watu wangesema kuwa bwana Zombe aliachiwa kwa kuwa waliouwawa walikuwa ni Wakristo ingeingia akilini kwako?
Mimi sio mwanasheria, ila kuna jambo moja la msingi ninaloliona: Kuna tatizo kubwa kwenye mfumo wetu wa sheria. Tatizo hilo halitokani na Udini bali linachangiwa kwa kiasi kikubwa na ukosefu wa uadilifu.
kwani wewe unaona cha ajabu ni nini? Kama wezi wa kuku wanapigwa na jaji nyundo 10 na kuwaacha mafisadi wakitanua kitaa, sembuse hili. Yanayotokea Tz hayatokei sehemuSuji kuna mantiki gani mtu anaetuhumiwa kwa mauji ya kukusudiwa ELIZABETH MICHAEL 'LULU' leo anabadilishiwa kesi na kuambiwa kaua bila ya kukusudia Huku sheikh Ponda mwenye kesi ya kuiba kokoto Kinatengenezwa kikabali ili asitoke ndani
HALAFU WANASIASA NA VIONGOZI WA KITAIFA WANATAKA WANANCHI TUSIJIGAWE KWA MISINGI YA UDINI. UDINI GANI WANAOUZUIA HUKU WATENDAJI WAKE WAKIONAKANA KUUMBATIA UDINI MAOFISINI? MWANANCHI GANI ATASIKILIZA NYIMBO YENU WAKATI WENYEWE HAMUICHEZI?
Ponda akifungwa pingu. Lulu akidunda bila ya Pingu na sasa mambo yake poa
Kokoto vs mauji wapi na wapi? kesho utasikia DPP atoa kibali haraka Lulu ELIZEBETH apewe dhamana bila ya mashari huku KIBALI cha sheikh ponda kikiengezwa muda zaidi. HUYO Ndio DPP wetu wa tanzania
mimi bado naamini kuna udini. Kilichomsibu Ponda ni kusema anataka akamgone Dk Ndalichako wa NECTA kwani inawahujumu waislam. harakati za Ponda Zinawaudhi baadhi ya watendaji wasiofata maadili ya kitanzania. hili limewakera sana baadhi ya watendaji waliofaidikia na mfumo wa NECTA. sidhani kama kokotoInawezekana una hoja mkuu lakini hueleweki unapong'ang'ania kuwaunganisha Lulu na Shehe Ponda.
Twenzetu mwalimu wangu. Huku hakutufai hata kidogo.
Twende ukanambie kwanini ulinitoroka kabla sijakupa haki yako? Ah mwalimu Mashallah wewe...... Acha tu.
Nadhani hata hiyo amri ya sita huifahamu, maana ni 'usizini' (sasa labda maana ya kuzini ni ngumu kwako). Sina maana kwamba kufanya ngono kabla ya kuoa ni halali, ila Lulu hakuzini, kama alikuwa anafanya ngozo (maana sina uhakika kwenye hili, sijawahi kuwachungulia) basi amefanya uasherati.
Ni mtoto kwa ajili ya umri wake.
Suji kuna mantiki gani mtu anaetuhumiwa kwa mauji ya kukusudiwa ELIZABETH MICHAEL 'LULU' leo anabadilishiwa kesi na kuambiwa kaua bila ya kukusudia Huku sheikh Ponda mwenye kesi ya kuiba kokoto Kinatengenezwa kikabali ili asitoke ndani
HALAFU WANASIASA NA VIONGOZI WA KITAIFA WANATAKA WANANCHI TUSIJIGAWE KWA MISINGI YA UDINI. UDINI GANI WANAOUZUIA HUKU WATENDAJI WAKE WAKIONAKANA KUUMBATIA UDINI MAOFISINI? MWANANCHI GANI ATASIKILIZA NYIMBO YENU WAKATI WENYEWE HAMUICHEZI?
Ponda akifungwa pingu. Lulu akidunda bila ya Pingu na sasa mambo yake poa
ubongo mwingine bwn yaan ni kujaza kichwa tu kiwe cha duara.
udini upi? udhaifu sio udini ndugu.
ebu nijuze yule aliyechochea wizi na uharibifu wa makanisa anashtakiwa kwa kosa la kuvamia kiwanja cha muislam, wakrisv walitendewa haki?
hahahahahhahahahhaha mwalimu maridhia sio !darasa litaenda kweli?