Lulu: Sijawahi kuwa mweusi, rangi ya Mtume nimezaliwa nayo

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304



Urembo:Mrembo na mwigizaji wa filamu za kibongo, Diana Elizabeth Michael ‘Lulu' hivi majuzi alitupia picha yake ya zamani mtandaoni hiyo hapo juu ikiwa kama ni "throwback thursday" (TBT) yake, na kuiandikia mameno haya.

"Let me throw it back ,shikana Mama, enzi za ujana sijawahi kuwa mweusi lol! rangi ya Mtume nimezaliwa nayo.
 
Hivi Kesi Yake Iliishaje. Bado Sielewi. Kweli Duniani Hakuna Haki Jamani.
 
Lulu na mleta mada wanafanana akili.
 
na weusi ni rangi ya.....
 
Huyu mtoto na mama yake akili zao zinafanana tu, ukoo wa panya.com
 
Ukweli sio mweusi tangu utotoni ila weupe wengi wa bongo movie ni kujibleach ama vile vipodozi vya boss anayewauza kwa wadosi #directorjoan mkorogo laki na nusu
 
Ngoja nrudie kuangalia clip alivyokuwa kaole na kina cheni na kanumba.
 
Nipe sababu mbili plizzzz

Sababu ya kwanza wanafanana akili,sababu ya pili wanafanana akili. Pengine wakati analeta pozi kama za Lulu haukuwa member tayari usingeuliza.
 
Sababu ya kwanza wanafanana akili,sababu ya pili wanafanana akili. Pengine wakati analeta pozi kama za Lulu haukuwa member tayari usingeuliza.

Hhhhhhhaaaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…