Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Urembo:Mrembo na mwigizaji wa filamu za kibongo, Diana Elizabeth Michael ‘Lulu' hivi majuzi alitupia picha yake ya zamani mtandaoni hiyo hapo juu ikiwa kama ni "throwback thursday" (TBT) yake, na kuiandikia mameno haya.
"Let me throw it back ,shikana Mama, enzi za ujana sijawahi kuwa mweusi lol! rangi ya Mtume nimezaliwa nayo.