Lulu: Sipendi "masharobaro"

Lulu: Sipendi "masharobaro"

Lol masharo wajipange kwenginee, watu wazima nao dawa,wanajua kuenzi... Sharo mashaka tuuuu...
 
Rahisi zaidi kama ukiweza kuvumilia kidogo nifanye juu chini nipate VIP ticket za BET Awards/BET hiphop award mbona hata Beyonce utasalimiana naye LIVE ntatafuta DIAMOND ambayo inauzwa kwa kawaida kama 4,350USD coz GOLD inayouzwa 1,095USD watoto pori wa US wanakuwa wengi sana eneo lake!

Binamu Dinazarde nafas hadimu hii ooh shaur yako, ushawah kutumia madolali weye?
 
Last edited by a moderator:
kamejitambua jamani hawa u know wala am saying? ni shida hongera but hao wazee mnaowagombea mjue mpo wengi target yenu kwao.
 
Ndio hivyoo wanakua wametulia angalau japo sio wotee, ,
Maana kuna mwingine ana 50 years lakini akili zake ni miaka 18

Eeh!umeanza uchokozi,leo nimemuona ana pee mtaani halafu eti ana degree 3,labda degree za kuangua embe dodo.
 
mtombekee mtombekee huyooo anapiga teke almasi daah...!!
Nyota ya jaha...hiyooo

Bina leo unaongea matusi si ushasema mdomo mchafu tuusafishe nami ni mwanafunzi wakoo inakuwaje!!!!
 
Back
Top Bottom