Lulu: Sipendi "masharobaro"

Lulu: Sipendi "masharobaro"

bina leo unaongea matusi si ushasema mdomo mchafu tuusafishe nami ni mwanafunzi wakoo inakuwaje!!!!

hahahahaha kikongi hicho ohooo sijatukana mie hapo
kamata fursa bwanaaa tukamuone riri live bila marangirangi mine
 
hahahahaha kikongi hicho ohooo sijatukana mie hapo
kamata fursa bwanaaa tukamuone riri live bila marangirangi mine

Subiri msukuma aandae ma viza pamoja na yako tupae pipa,achana na huyu dogo mziki wangu mkaliii
 
subiri msukuma aandae ma viza pamoja na yako tupae pipa,achana na huyu dogo mziki wangu mkaliii

ya ngosha ya masharti tutakua hatujiachii ya huyu ndo yenyewe ujue si unajua mchepuko unakupa uhuru...!!
 
Back
Top Bottom