Lulu: Sipendi "masharobaro"

We ni me or ke!!!!!una miaka mingapi?
Unaishi wapi! !
Weka picha tafwadhalii
Hahahahahahaha uknw
Dinazarde tafadhali naomba nimsaidie kuweka picha....jamaa ni Msukuma anaishi pasiasi
 

Attachments

  • 1415997899180.jpg
    63.9 KB · Views: 235
Last edited by a moderator:
atleast mi mwanaume wa below 30+ nna alerg kabisa nashindwa hata kumuitikia salamu akionyesha dalili zakuntongoza. mwanaume aged kidogo anafaa kuhandle bwana kama anajituma kidogo kutafuta mlee familia. huchoki hata kuamka saa nane usiku ukamuandalia kijichai uji akirudi ukaandaa kaji juice kidogo hatw kama wote mmetoka kazini. hawawatu kiufupi wanashukurani ukiwaonyeshs love wengi wana respond +vely wanahitaji uwajali tu wataupenda mpaka uite kikao cha ndugu kumuomba apunguze. sharobaro utachora chini.
NB: wapo waliokengeuka ila ukweli ni wachache. kwa haya mauzi ya ndoa bora nimpate hata wa 47 tukiishii happily for 20yrs ndio ajazeeka.inatosha sio sharo mnaoana mkitoka honeymuun mmenuniana
 
Kidemu kenyewe kimeshakongoroka, nani akifuate??
 
Hivi huyu lulu Mbona anapambwa sana Kama mzuri maana nilibahatika kumuona live duh wa kawaida sana...kafupii ....sema kuandikwa na magazeti ndio kuna mpa promo..
Nyama hana ..---- kitako cha kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…