Lulu,wema wanatoka na bwana mmoja

Lulu,wema wanatoka na bwana mmoja

Status
Not open for further replies.

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Habari zilizopo mujini ni kwamba mastaa wawili,lulu na wema sepetu,wanashiriki tendo la ndoa na bwana mmoja anaedaiwa kutumia pesa nyingi ili kuwarubuni,jamaa huyo ambaye ni kigogo wa serikalini ,amekuwa akiwachanganya mabinti hao maarufu kwa kuwapatia pesa nyingi,inasemekana ndiye anayewapa jeuri ya matanuzi mjini,data kamili zitamwagwa soon...
 
So....hapa sio FB mkuu jipange huoni hata haya,hatutaki umbea usio na miguu hapa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
So....hapa sio FB mkuu jipange huoni hata haya,hatutaki umbea usio na miguu hapa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Wewe ndo mbea wa kwanza,kama hutaki umbea iweje uingie humu? Kama uliona ni umbea si ungepita kimya kimya bila kuchefua watu???,tena umekuwa wa kwanza ku comment jinsi ulivyokuwa mbeya
 
sioni cha ajabu
si walianzia kwa yule ndugu aliyetangulia mbele za haki
kwa hiyo huu ni mwendelezo tu
wako kwa ajili ya pesa zaidi.
 
Money first

"To know the enemy is half the victory"
 
ila warumi ni kiboko we ni wauza sura tu kila saa mara hivi mara kile.
Subiri wakusute
 
Last edited by a moderator:
Hyu wema na lulu hawatakaa wapikike chungu kimoja kwa mtindo huu. Lulu nae kubeba mabwana sawa na umri wa babu yake ndo nini mtoto mdogo vile jamani?asubiri akue atawakuta tu ukubwani khaaa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom