warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Habari zilizopo mujini ni kwamba mastaa wawili,lulu na wema sepetu,wanashiriki tendo la ndoa na bwana mmoja anaedaiwa kutumia pesa nyingi ili kuwarubuni,jamaa huyo ambaye ni kigogo wa serikalini ,amekuwa akiwachanganya mabinti hao maarufu kwa kuwapatia pesa nyingi,inasemekana ndiye anayewapa jeuri ya matanuzi mjini,data kamili zitamwagwa soon...