Luludiva: Nina miaka 19, nitaolewa nikifikisha miaka 25

Naona watu wanaichukulia kauli ya Lulu serious!
 
Ha
Hahahaaa. Sesten hawezi kukubali kirahisi hivyo jirani.

Umeona watoto wa siku hizi wanavyokua haraka jirani? Yaani anakuwa kakomaa ila umri bado unakuwa mdogo. Au vyakula ndio vinazeesha jirani?
Hahahahaaa mwambie hudanganyiki banaa
 
Hahahaaa. Sesten hawezi kukubali kirahisi hivyo jirani.

Umeona watoto wa siku hizi wanavyokua haraka jirani? Yaani anakuwa kakomaa ila umri bado unakuwa mdogo. Au vyakula ndio vinazeesha jirani?
Yan watoto wanajikuza. Sijui shida ipo wapi manaa hizi mambo zinashika kasi.

Utupe briefing za kilichojiri huko pm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ