Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
Unajidanganya
Roho haizeeki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Roho haizeeki.
Ndo maana yake!Una maanisha lulu diva alimhonga TID hela ili aseme lulu diva ana mtt kijiji apate kiki au sijaelewa mm?
Ni mtu na binamu yake!Ni ndg wa kuzaliwa ama ndg kivip
Mi Alhamdulillah niko bukheri kabisa.Hujambo [emoji28]
Sawa Mkuu. 🙏🙏🙏🙏n
nikikuona tu na hiyo baibui mimi hoiiiiii.
Jirani.....PM tena kuja kufanya nini?
Atanizidi vipi kwamfano?!!! Uje leo nilione tena vizuri mamii
ni mtoto wa baba mkubwa na baba mdogo luludiva alifiwa na mzee wake so babaake idriss ndo kamlea,lkn idris ndio mkubwa kati yaoNi ndg wa kuzaliwa ama ndg kivip
Hahahaaa. Sesten hawezi kukubali kirahisi hivyo jirani.Jirani.....
Nenda pm bwana. Si sosten ameshatoa kibali....
Usije ukakosa baraka.
Ewaaaaa!!! Baadae Naja💃💃💃Atanizidi vipi kwamfano?!!! Uje leo nilione tena vizuri mamii
Wasubiriwa kwa hamu na gamuEwaaaaa!!! Baadae Naja💃💃💃
Hahahahaaa mwambie hudanganyiki banaaHahahaaa. Sesten hawezi kukubali kirahisi hivyo jirani.
Umeona watoto wa siku hizi wanavyokua haraka jirani? Yaani anakuwa kakomaa ila umri bado unakuwa mdogo. Au vyakula ndio vinazeesha jirani?
Yan watoto wanajikuza. Sijui shida ipo wapi manaa hizi mambo zinashika kasi.Hahahaaa. Sesten hawezi kukubali kirahisi hivyo jirani.
Umeona watoto wa siku hizi wanavyokua haraka jirani? Yaani anakuwa kakomaa ila umri bado unakuwa mdogo. Au vyakula ndio vinazeesha jirani?
Jamani nimekukosea nin bibie Shadeeya?Ewaaaaa!!! Baadae Naja[emoji126][emoji126][emoji126]
Hizo ndo type zangu hiziHuyu 30+