Chumchang Changchum
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 5,988
- 6,226
HahahaLabda ya sukari guru
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaLabda ya sukari guru
Hata Wema ana miaka 25''Kwasasa nina miaka 19, natarajia kuolewa nikifikisha miaka 25'' - @luludivatz
Celebrities wa bongo hawaishi vituko, halafu eti hawa vichwabox ndio tunaowategemea watupeperushie bendera yetu huko ulimwenguni? Tuna safari ndefu sana.
View attachment 1197775View attachment 1197776
Kwahiyo idris ni kaka yake?Lulu diva sio mkubwa kiasi hicho maana kaka yake idris sultan kazaliwa 93.kuhusu 19 am not sure ila kazaliwa chini ya 93...sema tu watoto wa like sikuhizi wanaanza mambo makubwa mapema
Hujambo [emoji28]Kuumbe!!!
Nisawa kabisa mkuu, ebu pindua hiyo 19 utapata 61
nikikuona tu na hiyo baibui mimi hoiiiiii.PM tena kuja kufanya nini?
Km Lemutuz anavyojiona ana miaka 38.Well, Watanzania mnaochangia humu na kuponda umri alioutangaza huyu binti, muelewe kuwa kawazidi muono na hiyo ni nyundo kwa wengi wenu lakini hamjitambui.
Kama mwenyewe anaji "feel" 19 wewe ni nani wa kumpangia umri wake?
Let her be all she can be. Either take it or leave it.
Ubaguzi upo wa aina nyingi na huyo binti kawazidi muono kwa kuupiga vita ubaguzi wa umri bila nyinyi kujielewa.
Siyo 28?Km Lemutuz anavyojiona ana miaka 38.
😂😂😂Duh hii Kali 🤣🤣🤣Ndala yaani itakuwa masela wananyonya hadi wanabembea
Una maanisha lulu diva alimhonga TID hela ili aseme lulu diva ana mtt kijiji apate kiki au sijaelewa mm?Threads kama hizi ndizo hasa alikuwa anazitafuta Luludiva!
Endapo angesema she's 27 or 28 au umri wowote unaofanana na yeye, basi hii thread isingekuwepo, na endapo ingekuwepo isinge-trend (kwa viwango vya Luludiva)!
Uzuri wa Luludiva haoni taabu kufanya chochote ili mradi tu azungumziwe kama ambavyo alimlipa TID atangaze kwamba ana mtoto kamsusa kijijini kwao!
Ni ndg wa kuzaliwa ama ndg kivipLulu diva sio mkubwa kiasi hicho maana kaka yake idris sultan kazaliwa 93.kuhusu 19 am not sure ila kazaliwa chini ya 93...sema tu watoto wa like sikuhizi wanaanza mambo makubwa mapema
Siyo 28?Km Lemutuz anavyojiona ana miaka 38.
Ana 60+.. Rika lako yule[emoji16][emoji16][emoji16]Siyo 28?
Roho haizeeki.Ana 60+.. Rika lako yule[emoji16][emoji16][emoji16]