Kuna vigogo kadhaa kutoka Chadema wanapokelewa.....yumo Prof mmoja!
Ningewaona wa maana wangeanza kumshughulikia Makonda.
Psychiatric mindedKile chama kikuu cha upinzani kinachosubiria mgombea wa urais kinafuatilia kwa makini juu ya maamuzi yatakayofikiwa kuwahusu wale " Wana wa ngurumo"
Kiuhakika kama Membe atavumiliwa na kuendelea kubakia CCM basi litakuwa pigo kubwa sana kwa Chadema.
Kiukweli tunayasubiri kwa hamu kubwa maamuzi ya kihistoria ya chama chetu.
Maendeleo hayana vyama!
Mwambiye mwelezee!! Huwa nawashangaa watu wanaodhani "Naibu Rais" anaweza kufukuzwa na Chama.Chuki yako haita kufikisha popote
Na utaugua kiugulia bure
Makonda yupo leo Mpaka Kesho
Chuki yako haita kufikisha popote
Na utaugua kiugulia bure
Makonda yupo leo Mpaka Kesho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wakati huu Jasusi Mbobezi yupo hotel isiyofahamika akiwazoom
ulinzi uliimarishwa CDM yamekosa cha kukwapua yamerudi shamba la bibiWanapokelewa wale majizi waliokimbilia ChademaView attachment 1355266
Sent using Jamii Forums mobile app
Thubutu,Ningewaona wa maana wangeanza kumshughulikia Makonda.
Bi Mdogo how? Futa kauli, una maana anam.......Thubutu,
Juzi tu alikuwa amekumbatiana naye kigamboni.
Yule bi bmdogo. Bado hamuelewi tuu?
Aisee!Kuna vigogo kadhaa kutoka CHADEMA wanapokelewa. yumo Prof mmoja!
Kiukweli tunayasubiri kwa hamu kubwa maamuzi ya kihistoria ya chama chetu.
Maendeleo hayana vyama!