Wadau,
Kamati Kuu ya Halmashauri ya Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi inakutana leo Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba Jijini Dar es Salaam.
View attachment 1355238
Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli akipokelewa na Katibu Mkuu Ndg Bashiru Ally
View attachment 1355241
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Ndg Ali Mohamed Shein akipokelewa na Katibu Mkuu Ndg Bashiru Ally
View attachment 1355244
Katibu Mkuu Ndg Bashiru Ally akimuongoza Mjumbe wa Kamati Kuu na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg Samia Suluhu
View attachment 1355247
Katibu Mkuu Ndg Bashiru Ally akimpokea Ndg Kassim Majaliwa, Mjumbe wa Kamati Kuu na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
*****
Nimepita maeneo ya Lumumba muda huu naona shughuli zimekuwa nyingi sana!
Hata barabara inayokatiza mbele ya Lumumba imefungwa kwa muda.
Tusubiri Yatakayojiri!
YALIYOJIRI:
Kamati ya Usalama na Maadili imepewa Siku 7 kukamilisha na kukabidhi Taarifa Ya Mahojiano Yaliyofanywa na Viongozi Wastaafu Wa CCM hivi karibuni.