Lumumba, Dar: Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM imetoa siku 7 kwa Kamati yake ndogo kuwasilisha taarifa ya mahojiano ya Membe, Makamba na Kinana

Lumumba, Dar: Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM imetoa siku 7 kwa Kamati yake ndogo kuwasilisha taarifa ya mahojiano ya Membe, Makamba na Kinana

Kodi za Wananchi Zinatumika Vibaya Kwa vikao Visivyo na Maana.
 
Wepi hao? Wale uliowasema kuwa wapo kazini au Kuna wengine umewaongeza? Lakini hushangazi hata kidogo Dada kipenzi kwani Kuna yule mnyama anayetumika kwa ulinzi lakini huko kwenu idegenda mnamwita shemeji na akikaa vibaya mnamgeuza mboga! Hebu punguza sifa za kuwasifia wanaume kwani mwanaume Mimi sipendagi sifa za kijinga!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Acha kupaniki dada unataka na wewe nikuletee ile mboga ule?
Tena siyo huyo tu hadi panya mie nakula,
Una lingine au umeishiwa unasubiri kichapo hapo oktoba mwaka huu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM inaonekana kujiimarisha zaidi kuliko vyama vya upinzani,....kweli siasa ni sayansi....usipo ijua basi bora uache siasa ufanye kazi nyingine.....vyama vya upinzani vinasubiri kulalamika badala ya kujiimarisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaonekana wamefedheheshwa na namna watu walivyoyapokea mahojiano hayo!
 
Screenshot_20200210-004410_Chrome.jpg
 
Wadau,

Kamati Kuu ya Halmashauri ya Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi inakutana leo Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba Jijini Dar es Salaam.

View attachment 1355238
Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli akipokelewa na Katibu Mkuu Ndg Bashiru Ally

View attachment 1355241
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Ndg Ali Mohamed Shein akipokelewa na Katibu Mkuu Ndg Bashiru Ally

View attachment 1355244
Katibu Mkuu Ndg Bashiru Ally akimuongoza Mjumbe wa Kamati Kuu na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg Samia Suluhu

View attachment 1355247
Katibu Mkuu Ndg Bashiru Ally akimpokea Ndg Kassim Majaliwa, Mjumbe wa Kamati Kuu na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
*****

Nimepita maeneo ya Lumumba muda huu naona shughuli zimekuwa nyingi sana!
Hata barabara inayokatiza mbele ya Lumumba imefungwa kwa muda.

Tusubiri Yatakayojiri!

YALIYOJIRI:
Kamati ya Usalama na Maadili imepewa Siku 7 kukamilisha na kukabidhi Taarifa Ya Mahojiano Yaliyofanywa na Viongozi Wastaafu Wa CCM hivi karibuni.
Screenshot_20200212-103236_Google.jpg
 
Haya ndio madudu tunayoweza afrika,
Kushinda kanisani tukiomba weeee,kuzindua mataasisi ya huduma badala ya kutengeneza viwanda,na siasa zisizo na tija

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenyekiti hakufurahishwa wastaafu kupokelewa kwa bashasha kama wafalme, mwenyekiti alikasirika wastaafu kugoma kumwangukia, kama inavyosemekana mwenyekiti anapenda kulambwa miguu, pale kwenye mahojiano hayakua mahojiano yalikua maongezi tu ya kawaida (story). mwenyekiti anaituhumu kamati ndogo kutokutekeleza maagizo waliyopewa na halmashauri kuu, wamepewa siku saba watoe taarifa ya hayo maongezi yao ili hatua zaidi zichukuliwe dhidi ya wahoji na wahojiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom