Vp mbatizaji hao madiwani wa ACT Wazalendo wakiunganishwa ndo = na Prof mmoja kutoka CHADEMA au tuvute subra?Kuna vigogo kadhaa kutoka CHADEMA wanapokelewa. yumo Prof mmoja!
hivi hiki chama kimeshawahi kupokea maombi ya kujiunga nacho toka kwa wale wabunge walionunuliwa? kina waitara, karanga &co? wapuuzi hawaKuna vigogo kadhaa kutoka CHADEMA wanapokelewa. yumo Prof mmoja!
Mawazo ya Haraka Haraka kwa mpuuzi kama wewe sio JipyaJinsi unavyo kuwa mbogo akitajwa Makonda! Mtu akiwa na mawazo ya harakaharaka atasema ni chepukoz
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Acha kupaniki dada unataka na wewe nikuletee ile mboga ule?Wepi hao? Wale uliowasema kuwa wapo kazini au Kuna wengine umewaongeza? Lakini hushangazi hata kidogo Dada kipenzi kwani Kuna yule mnyama anayetumika kwa ulinzi lakini huko kwenu idegenda mnamwita shemeji na akikaa vibaya mnamgeuza mboga! Hebu punguza sifa za kuwasifia wanaume kwani mwanaume Mimi sipendagi sifa za kijinga!
Chuki yako haita kufikisha popote
Na utaugua kiugulia bure
Makonda yupo leo Mpaka Kesho
Mwenyekiti hana ubavu wa kumgusa Bashite boyNingewaona wa maana wangeanza kumshughulikia Makonda.
Mshauri Dadako Aka Msaidie
Ndio, kwa nini ukiona jina Makonda hujipi muda wa kutafakari bali unalipuka?Mawazo ya Haraka Haraka kwa mpuuzi kama wewe sio Jipya
Wadau,
Kamati Kuu ya Halmashauri ya Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi inakutana leo Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba Jijini Dar es Salaam.
View attachment 1355238*****
Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli akipokelewa na Katibu Mkuu Ndg Bashiru Ally
View attachment 1355241
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Ndg Ali Mohamed Shein akipokelewa na Katibu Mkuu Ndg Bashiru Ally
View attachment 1355244
Katibu Mkuu Ndg Bashiru Ally akimuongoza Mjumbe wa Kamati Kuu na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg Samia Suluhu
View attachment 1355247
Katibu Mkuu Ndg Bashiru Ally akimpokea Ndg Kassim Majaliwa, Mjumbe wa Kamati Kuu na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Nimepita maeneo ya Lumumba muda huu naona shughuli zimekuwa nyingi sana!
Hata barabara inayokatiza mbele ya Lumumba imefungwa kwa muda.
Tusubiri Yatakayojiri!
YALIYOJIRI:
Kamati ya Usalama na Maadili imepewa Siku 7 kukamilisha na kukabidhi Taarifa Ya Mahojiano Yaliyofanywa na Viongozi Wastaafu Wa CCM hivi karibuni.
Haya ndio madudu tunayoweza afrika,Wadau,