Lumumba, Dar: Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM imetoa siku 7 kwa Kamati yake ndogo kuwasilisha taarifa ya mahojiano ya Membe, Makamba na Kinana

Ndio utaratibu ulivyo, hakuna namna nyingine hata wenyewe wanajua hivyo.

Haya si maamuzi kama ya wenyeviti wale ambao wanayafanya nyumbani na familia zao.
 
Mwenyekiti alishawahi kushangaa hata Shein Kunyimwa mkono na Maalim na bado Shein akaruhusu Maalim akatibiwe nje kwa gharama za serikali akasema angekua yeye hiiiiiiiiiiiiiiiiiiìiii......

dodge
 
Tatizo ambalo kwa sasa linaleta matatizo hapa nchini/jamiiforums ni kuwa na kundi la wajinga ambao hawajui kama ni wajinga!
Hilo alilosema lina mantiki sana,toka jana nilijua tu kuna watu wamechukizwa na namna kuitwa kule kulivyoleta mjadala hasa wakionekana wahojiwa ndio walidominate!
 
Tatizo ambalo kwa sasa linaleta matatizo hapa nchini/jamiiforums ni kuwa na kundi la wajinga ambao hawajui kama ni wajinga!
Na Mbaya zaidi Wanaonekana Ndio Tegemezi kwa humu jf
Wamekuwa wakipotosha upuuzi wao wana Achwa tu
Huu upuuzi unazidi kuenea kila kukicha
Kila mtu akitaka like au aonekane naye Mjuaji
Nikuleta upumbavu humu
 
Hilo alilosema lina mantiki sana,toka jana nilijua tu kuna watu wamechukizwa na namna kuitwa kule kulivyoleta mjadala hasa wakionekana wahojiwa ndio walidominate!
Wahojiwa walidominate kivipi bwashee?!
 
Na Mbaya zaidi Wanaonekana Ndio Tegemezi kwa humu jf
Wamekuwa wakipotosha upuuzi wao wana Achwa tu
Huu upuuzi unazidi kuenea kila kukicha
Kila mtu akitaka like au aonekane naye Mjuaji
Nikuleta upumbavu humu
Mtetezi wa ACT-Maendeleo.

dodge
 
Wahojiwa walidominate kivipi bwashee?!
Tumemsikia Membe akifurahia baada ya mjadala,huku tumeona habari picha kinana na Makamba wakiwa wenye kujiamini na wanaohoji wakinichekesha chekesha,hapo unataka nini cha zaidi?
 
Kwenye hizo picha nimegundua nidhamu ya woga.

1: Ukimwangaila Bashiru, alipokuwa anasalimiana na Magufuli, Shein anapindisha mgongo-kainama, pia alipokuwa ameshikamana mkono na Samiahutauna pia kainama. Lakini alipokuwa anasalimiana na Majaliwa, AMASIMAMA WIMA. hii ina maana gani?

2: Kwa sababu wametoa tamko hadharani, basi hayo majibu ya hiyo taarifa wayatoe pia hadharani.
 
Hicho chama kimeishajipanga kumpata mmoja kati ya hao watatu kuwa mgombea wao wa urais 2020!
 
Mwenyekiti alishawahi kushangaa hata Shein Kunyimwa mkono na Maalim na bado Shein akaruhusu Maalim akatibiwe nje kwa gharama za serikali akasema angekua yeye hiiiiiiiiiiiiiiiiiiìiii......

dodge
Nancy Pelos aliyaelewa vizuri maneno ya Mwenyekiti Jiwe ndio maana Trump alipomnyima mkono naye akaichanachana hotuba yake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…