Ole Kwikwi
Senior Member
- Feb 1, 2020
- 103
- 217
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata ningekuwa mimi nisingekubali kuhojiwa. Ningewapotezea mbali!
kwani Makonda hayupo atembeze kipigo kama alichompa warioba?hamna kitu wazee wamegoma hao
Wamekataa kuhojiwa na wavamizi wa Chama chao,Mtu hakatai wito hukataa analoitiwa. Sharti la Kwanza la wito ni kufika ulipoitwa iwe kwa hiari au lazima baada ya kufika ndio una uhuru wa kukataa au kuendelea kusikiliza ulichoitiwa. Wahenga waliona mbali sana.
siku nyingine usikiongelee chama cha ukombozi kama SACCOS ya ufipa, CCM ni chama cha wanachama wote sio chama chaoWamekataa kuhojiwa na wavamizi wa Chama chao,
Jidanganye!siku nyingine usikiongelee chama cha ukombozi kama SACCOS ya ufipa, CCM ni chama cha wanachama wote sio chama chao
Jiongopee Ila tulio mitaa ya lumumba tuna full data na tunaumonitor mchezo na taharuki zilizojitokeza tangu ijumaa! Hali ni tete tangu juzi na ninyi mmepewa kazi Leo asubuhi ya kutuaminisha umma kuwa wazee watanojiwa Leo ilihali siyo kweli! Hawajaenda dodoma wapo makwao dar!Ulivuta bangi kabla ya kucomment? Hakuna anguko lolote unalolifikiria
Sent using Jamii Forums mobile app
Alijua huo ubatizo ni kwa binadamu wengine, yeye ni so special msoto haumuhusuUbatizo wa moto aliotabiri yusufu makamba umemfikia naona hata kulala vizuri halali
Kinachowahangaisha ni watoto na wajukuu wao...All in all , these vyama are not oxygen anyway! Wanahangaika na nini! Wana miaka mingapi ya kuishi? Kinachowahangaisha cha zaidi ni nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
aliyesema anashindia mihogo si CHADEMA bali Dr Slaa mwenyewe,kwa hiyo alaumiwe mwenyewe kwa kujipatia jina la Dr Mihogo badala ya kuilaumu chadema.Alipokuwapo Dr silaa kwenu alikuwa mtu wa heshima alipo ondoka mkamuita mzee wa mihogo mjinga na mengine mengi kwa hiyo hapo ilikuwa ni CCM au? Usiseme CCM wakati hata huko upinzani yapo.