Lunch zetu tukiwa maofisini nyingi ni viinimacho

bornagain

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Posts
3,383
Reaction score
1,357
Jamani muda wa lunch unakaribia sana kwa watu wa maofisini maana tunapewa saa moja kuanzia saa saba mpaka saa nane kwa ofisi zilizo nyingi, sasa kuna kitu huwa kinanitatiza mimi kama mfanyakazi ambae nakula lunch wakati nikiwa ofisini, hivi jamani turudi nyuma na twende mbele kweli tunavokula lunch zetu ni sawa na uahalisia wetu plus ni sawa na tunachokila ama tunachokiacha majumbani kwetu.
Utakuta mtu asubuhi ananunua ma egg chock na mapochopocho mengine eti ni breakfast then lunch anaanza kwanza na sahani la matunda then anapiga menu ya maana sana. Sasa nawauliza hivi na nyumbani tunakuwa tumeacha mazingira ya namna hiyo ama jioni nako ukifika nyumbani unakula balanced diet kama hiyo hiyo ama inakuwa sasa bora liende hata kama ukikutana na mchicha unakula ivo ivo kwa kuwa umeshakula vitu vya maana mchana. Haya lunch njema lakini kumbukeni na majumbani kwenu nao wanatamani kula kama utakavokula mchana. Hii ni kwa wote wanaume na wanawake inahusika
 
huwa sijivungi mkuu,mi nakuchapia mihogo maji,na kachumbali ya kutosha,ukiniona utadhani pedeshee flani hivi kumbe.....kuna maza mmoja hapo nyuma ya ofisi ndo anatengeneza mambo,anajua huyo ni balaa
 
Jamani muda wa lunch unakaribia sana kwa watu wa maofisini maana tunapewa saa moja kuanzia saa saba mpaka saa nane kwa ofisi zilizo nyingi, sasa kuna kitu huwa kinanitatiza mimi kama mfanyakazi ambae nakula lunch wakati nikiwa ofisini, hivi jamani turudi nyuma na twende mbele kweli tunavokula lunch zetu ni sawa na uahalisia wetu plus ni sawa na tunachokila ama tunachokiacha majumbani kwetu.
Utakuta mtu asubuhi ananunua ma egg chock na mapochopocho mengine eti ni breakfast then lunch anaanza kwanza na sahani la matunda then anapiga menu ya maana sana. Sasa nawauliza hivi na nyumbani tunakuwa tumeacha mazingira ya namna hiyo ama jioni nako ukifika nyumbani unakula balanced diet kama hiyo hiyo ama inakuwa sasa bora liende hata kama ukikutana na mchicha unakula ivo ivo kwa kuwa umeshakula vitu vya maana mchana. Haya lunch njema lakini kumbukeni na majumbani kwenu nao wanatamani kula kama utakavokula mchana. Hii ni kwa wote wanaume na wanawake inahusika

Hapo kwenye Bold itakuwa inapatikana ofsini kwenu tu mkuu..
 
Mie sioni tatizo kama mtu hana matunda ya yeye kula nyumbani na anakula akiwa kazini kila siku. Weekend atakuwa anajijua na uamuzi wake kununua au no. Ila cha muhimu anajiwekea mwili wake kuwa fit.

Hayo ma chop chop sijui mie sioni kama ni vizuri kula mengi kila siku kama mtu unapenda mwili wako. Yoghurt nazo zipo poa sana kwa mtu ukibeba.

Wengi wakifika home uchovu na hata nguvu ya kula inakuwepo kwa mbali. Mbona wakikuta mchicha etc ni vizuri sana.

Mleta mada, sijui umetaka kusema nini haswaaaaa kwa ulicholeta. Ila hakuna haja ya kucheka watu na uamuzi wao, maana wao wanaweza kuwa bora kujiangalia kuliko wewe.
 
Jamani muda wa lunch unakaribia sana kwa watu wa maofisini maana tunapewa saa moja kuanzia saa saba mpaka saa nane kwa ofisi zilizo nyingi, sasa kuna kitu huwa kinanitatiza mimi kama mfanyakazi ambae nakula lunch wakati nikiwa ofisini, hivi jamani turudi nyuma na twende mbele kweli tunavokula lunch zetu ni sawa na uahalisia wetu plus ni sawa na tunachokila ama tunachokiacha majumbani kwetu.
Utakuta mtu asubuhi ananunua ma egg chock na mapochopocho mengine eti ni breakfast then lunch anaanza kwanza na sahani la matunda then anapiga menu ya maana sana. Sasa nawauliza hivi na nyumbani tunakuwa tumeacha mazingira ya namna hiyo ama jioni nako ukifika nyumbani unakula balanced diet kama hiyo hiyo ama inakuwa sasa bora liende hata kama ukikutana na mchicha unakula ivo ivo kwa kuwa umeshakula vitu vya maana mchana. Haya lunch njema lakini kumbukeni na majumbani kwenu nao wanatamani kula kama utakavokula mchana. Hii ni kwa wote wanaume na wanawake inahusika

Naamini mtafutaji lazima ale vizuri kuliko watafutiwaji ili atafute vizuri........:shocked::shocked::shocked:
 
Du haya bwana kwa hiyo unamaanisha kuwa unapiga menu ya maana then nyumbani kwa kuwa si watafutaji wanakula dagaa wa Mwanza
 
Hahahaha kwa hiyo mpaka ugomvi, mwenzio leo nimekula kwa mama Ntilie hapa nipo full then nimeambiwa nyumbani leo ni pilau

Niko mbali na home ila nimekumbushwa hii kwenye post ingine.........

IMG_0644.JPG
 
Back
Top Bottom