bornagain
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 3,383
- 1,357
Jamani muda wa lunch unakaribia sana kwa watu wa maofisini maana tunapewa saa moja kuanzia saa saba mpaka saa nane kwa ofisi zilizo nyingi, sasa kuna kitu huwa kinanitatiza mimi kama mfanyakazi ambae nakula lunch wakati nikiwa ofisini, hivi jamani turudi nyuma na twende mbele kweli tunavokula lunch zetu ni sawa na uahalisia wetu plus ni sawa na tunachokila ama tunachokiacha majumbani kwetu.
Utakuta mtu asubuhi ananunua ma egg chock na mapochopocho mengine eti ni breakfast then lunch anaanza kwanza na sahani la matunda then anapiga menu ya maana sana. Sasa nawauliza hivi na nyumbani tunakuwa tumeacha mazingira ya namna hiyo ama jioni nako ukifika nyumbani unakula balanced diet kama hiyo hiyo ama inakuwa sasa bora liende hata kama ukikutana na mchicha unakula ivo ivo kwa kuwa umeshakula vitu vya maana mchana. Haya lunch njema lakini kumbukeni na majumbani kwenu nao wanatamani kula kama utakavokula mchana. Hii ni kwa wote wanaume na wanawake inahusika