Uchaguzi 2020 Lunguza: Wakina mama wametoa ujumbe wao kwa mgombea Urais Tundu Lissu kwa shairi

Wachungaji wanateseka mifugo inapata tabu.
Tundu Lissu sikiliza, kero zetu tunakulilia, maji tuna nyanyasika.
Sisi wakina mama Tundu Lissu tunakuahidi kura zetu za Urais, kiti utakikalia.

Longuza ya Muheza au?
 
Wachungaji wanateseka mifugo inapata tabu.
Tundu Lissu sikiliza, kero zetu tunakulilia, maji tuna nyanyasika.
Sisi wakina mama Tundu Lissu tunakuahidi kura zetu za Urais, kiti utakikalia.

Hivi TANAPA kuna tatizo gani, maana nchi nzima ni kilio!
 
Porojo
1f6ae.jpg
 
Wachungaji wanateseka mifugo inapata tabu.
Tundu Lissu sikiliza, kero zetu tunakulilia, maji tuna nyanyasika.
Sisi wakina mama Tundu Lissu tunakuahidi kura zetu za Urais, kiti utakikalia.

Mashairi kama haya makali makali niliyasikia mwaka 1985 kwa mara ya mwisho.
 
Back
Top Bottom