Uchaguzi 2020 Lunguza: Wakina mama wametoa ujumbe wao kwa mgombea Urais Tundu Lissu kwa shairi

Uchaguzi 2020 Lunguza: Wakina mama wametoa ujumbe wao kwa mgombea Urais Tundu Lissu kwa shairi

Inaonekana nchi nzima kina mama wamemkubali Tundu Lissu kama kiongozi bora anayefaa kuwa rais 2020

YEHODAYA kwenyee huu uzi huwezi muona.

Si alidai Tundu Lissu anafahamika mijini tu na kwamba kampeni hafanyi vijijini.

Hahahahaha

Jokes aside, ila Mbowe ni kamanda, hvi mpka chitemo kuna CHADEMA kumbe? Sasa upinzani ungekufaje kwa mfano?
 
Zao la Bawacha, hongera Halima Mdee hii ni taasisi imara.
 
21 October 2020
Vuga, Unguja
Zanzibar
Tanzania

Maalim Seif akutana na mawakala wa Unguja, awaambia uchaguzi wa mara hii ni wa ukombozi, kina mama waripuka kwa shangwe kubwa

Mgombea urais wa Zanzibar kupitia ACT Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad, amekutana hivi leo na mawakala wote wa kisiwa cha Unguja na amewakumbusha kwamba uchaguzi wa mara hii ni wa kutetea mamlaka na ukombozi wa Zanzibar kwa ajili ya vizazi vyao.
Kutia kura Zanzibar ni lazima mwaka huu 2020 ACT-WAZALENDO Msiogope msitishike nchi tayari ipo katika kura zetu ni kiasi tu cha kujitokeza kuitumbukiza ktk sanduku la kura
 
Wachungaji wanateseka mifugo inapata tabu.
Tundu Lissu sikiliza, kero zetu tunakulilia, maji tuna nyanyasika.
Sisi wakina mama Tundu Lissu tunakuahidi kura zetu za Urais, kiti utakikalia.

Ujumbe huu ufikie wakina Mama nchi Nzima

Mama zetu na Dada zetu wanateseka na Maji.

TANAPA kunyanyasa wanyonge Ni nchi Nzima kumbee... ilikuwa haisemwi hii

Maovu yamefichuliwa na Shujaa Mhe. Lisu...

Naomba Bawacha na Bavicha wasambaze hii Video clip kwa nguvu mno...

Molemo Erythrocyte
 
Umesikika
 
21 October 2020
Vuga, Unguja
Zanzibar
Tanzania

Maalim Seif akutana na mawakala wa Unguja, awaambia uchaguzi wa mara hii ni wa ukombozi, kina mama waripuka kwa shangwe kubwa

Mgombea urais wa Zanzibar kupitia ACT Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad, amekutana hivi leo na mawakala wote wa kisiwa cha Unguja na amewakumbusha kwamba uchaguzi wa mara hii ni wa kutetea mamlaka na ukombozi wa Zanzibar kwa ajili ya vizazi vyao.

bagamoyo Mungu akubariki sana
 
Yule anayetembea na feni kila mahali sijui ana hali gani?
 
Back
Top Bottom