Tukapige kura tuondokane na uchafu wa namna hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaonekana nchi nzima kina mama wamemkubali Tundu Lissu kama kiongozi bora anayefaa kuwa rais 2020
Ukimwona mtu anashaabikia ujue ana dosari fulani.Naona wenye vyeti feki mnajazana upepo .mitano tena kwa jpm.
MAGUFULI yeye ni kudhalilisha tu wanawakeTundu Lissu Ni Rabi. Rabi ni zaidi ya mwalimu
Umanaanisha nawewe unadosari sehemu.?Ukimwona mtu anashaabikia ujue ana dosari fulani.
Inaonekana nchi nzima kina mama wamemkubali Tundu Lissu kama kiongozi bora anayefaa kuwa rais 2020
Kwa dodoma haya ni zaidi ya maajabu
Mi si shabikii CCM samahani sanaUmanaanisha nawewe unadosari sehemu.?
KabisaWazandiki hawa na wabunge wao wamepita kibabe bila kupingwa.
Inaonekana nchi nzima kina mama wamemkubali Tundu Lissu kama kiongozi bora anayefaa kuwa rais 2020
Kutia kura Zanzibar ni lazima mwaka huu 2020 ACT-WAZALENDO Msiogope msitishike nchi tayari ipo katika kura zetu ni kiasi tu cha kujitokeza kuitumbukiza ktk sanduku la kura
Wachungaji wanateseka mifugo inapata tabu.
Tundu Lissu sikiliza, kero zetu tunakulilia, maji tuna nyanyasika.
Sisi wakina mama Tundu Lissu tunakuahidi kura zetu za Urais, kiti utakikalia.
UmesikikaUjumbe huu ufikie wakina Mama nchi Nzima
Mama zetu na Dada zetu wanateseka na Maji.
TANAPA kunyanyasa wanyonge Ni nchi Nzima kumbee... ilikuwa haisemwi hii
Maovu yamefichuliwa na Shujaa Mhe. Lisu...
Naomba Bawacha na Bavicha wasambaze hii Video clip kwa nguvu mno...
Molemo Erythrocyte
21 October 2020
Vuga, Unguja
Zanzibar
Tanzania
Maalim Seif akutana na mawakala wa Unguja, awaambia uchaguzi wa mara hii ni wa ukombozi, kina mama waripuka kwa shangwe kubwa
Mgombea urais wa Zanzibar kupitia ACT Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad, amekutana hivi leo na mawakala wote wa kisiwa cha Unguja na amewakumbusha kwamba uchaguzi wa mara hii ni wa kutetea mamlaka na ukombozi wa Zanzibar kwa ajili ya vizazi vyao.