Longuza ya Muheza au?
Wachungaji wanateseka mifugo inapata tabu.
Tundu Lissu sikiliza, kero zetu tunakulilia, maji tuna nyanyasika.
Sisi wakina mama Tundu Lissu tunakuahidi kura zetu za Urais, kiti utakikalia.
Ok, naona kumeiva sasa, ni kulinda kura na kumtangaza.Hii ni ya Lushoto
Tumia vidmate. Kama unatumia android kama unatumia ios sina cha kukuambianitaichotaje hii clip, download siipati
Hivi TANAPA kuna tatizo gani, maana nchi nzima ni kilio!
Wachungaji wanateseka mifugo inapata tabu.
Tundu Lissu sikiliza, kero zetu tunakulilia, maji tuna nyanyasika.
Sisi wakina mama Tundu Lissu tunakuahidi kura zetu za Urais, kiti utakikalia.
Mashairi kama haya makali makali niliyasikia mwaka 1985 kwa mara ya mwisho.
Wachungaji wanateseka mifugo inapata tabu.
Tundu Lissu sikiliza, kero zetu tunakulilia, maji tuna nyanyasika.
Sisi wakina mama Tundu Lissu tunakuahidi kura zetu za Urais, kiti utakikalia.
Tundu Lissu kazaliwa upya. Comming Mesiah
Tundu Lissu Ni Rabi. Rabi ni zaidi ya mwalimu