Lunya alikuwa hot, kosa alilofanya ni kusaini label ya Sony, kajizika !

Lunya alikuwa hot, kosa alilofanya ni kusaini label ya Sony, kajizika !

watu kibao

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2025
Posts
466
Reaction score
1,663
1750520325000.png

Young Lunya alikuwa kwenye nafasi nzuri kwenye game kwa kutoa kazi mara kwa mara zilizo hit na kumpa umaarufu.

lakini tangu asaini na label ya Sony Africa ni kama kajizika,

Sony wamembana sana asitoe nyimbo kama alivyozoea, label haimpi kipaumbele.
 
Muhimu maokoto ya kusavaivu laifu yako vyedii, haisumbui.
Do you know how labels work, because ukishapewa advance mpaka uireturn ndiyo uendelee kulipwa na kuna asilimia label inakuwa inachukua katika mapato yako yote, na usually its more than half the revenue.

Na huwezi kurelease kazi bila ruhusa ya A&R wako akuruhusu.
 
Duuh mbona hatarii hii, je km hiyo Advance anayopewa ni kubwa sana, kuliko angekua solo.?
 
Sony wamembana sana asitoe nyimbo kama alivyozoea, label haimpi kipaumbele.
Kama hii ni kweli, wao Sony wanapata faida kuwa na msanii asiyetoa kazi za sanaa? yaani mwekezaji kaweka hela ila kazuia kiwanda kisizalishe bidhaa. Inashangaza.
 
Back
Top Bottom