watu kibao
JF-Expert Member
- Mar 25, 2025
- 466
- 1,663
dogo mkali sana hata mimi dingi napęnda mziki wakeYoung Lunya alikuwa na oace nzuri kwenye game kwa kutoa kazi mara kwa mara zilizo hit na kumpa umaarufu.
lakini tangu asaini na label ya Sony Africa ni kama kajizika
Do you know how labels work, because ukishapewa advance mpaka uireturn ndiyo uendelee kulipwa na kuna asilimia label inakuwa inachukua katika mapato yako yote, na usually its more than half the revenue.Muhimu maokoto ya kusavaivu laifu yako vyedii, haisumbui.
Duuh mbona hatarii hii, je km hiyo Advance anayopewa ni kubwa sana, kuliko angekua solo.?Do you know how labels work, because ukishapewa advance mpaka uireturn ndiyo uendelee kulipwa na kuna asilimia label inakuwa inachukua katika mapato yako yote, na usually its more than half the revenue.
Na huwezi kurelease kazi bila ruhusa ya A&R wako akuruhusu.
Kama hii ni kweli, wao Sony wanapata faida kuwa na msanii asiyetoa kazi za sanaa? yaani mwekezaji kaweka hela ila kazuia kiwanda kisizalishe bidhaa. Inashangaza.Sony wamembana sana asitoe nyimbo kama alivyozoea, label haimpi kipaumbele.