Lunyungu ( JF member) is seriously ill ! - UPDATES

Nimempigia simu Lunyungu kumjulia hali lakini alilinisisitiza nikate simu kwanza halafu nimwekee credit kwenye simu yake kwani bado yupo nje ya nchi, nafikiri namba yake imekuwa diverted hivyo ni lazima iwe na credit kuweza kuongea nae. Nashindwa kutambua namba yake 0767 554433 ni mtandao gani, msaada tafadhali.
 
Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi katika wakati huu, Pole sana mkuu.
 

Vodacom mkuu
 

Ni vodacom mkuu, Recharge yake inakua rahisi ukitumia kutoka Tanzania (availability)
 
Pole sana ndugu Linyungu, Mungu atakusaidia, utapona, JF tunakutakia heri ya mwaka mpya wa 2011
 
Good to hear that he was discharged from the hospital mungu azidi kumsaidia ili apone haraka
 
Nimesoma hii post na kujisikia vibaya, ndivyo hali halisi ilivyo kwa sehemu kubwa, si mahospitalini tu. Honesty and Responsibility ilishaondoka siku nyingi, kuna vijana wanaingia medical school kwa vile tu wanaitaka ile title, ili mbele za watu wapate respect fulani, matumizi ya hiyo title ni aibu tu.

Udaktali ni kazi ya wito, siyo hobbie lakini kuna ambao hawataki hata kusikia neno wito na ndo maana hata Mzee Ruksa aliposema hii ni kazi ya wito,japo kulikuwa na sababu nyingine, waliandamana hadi Ikulu kudai wamedhalilishwa.

Binafsi sina muda mrefu hapa jf, sikumjua Lunyungu, ila nahisi ana mchango madhubuti humu ndani, nampa pole na kumuomba Mungu amjalie afya njema ili nasi wageni tukutane na Posts zake.
 
Wana bodi, nimesoma posti hii na ndicho kilichotokea, nimemkumbuka Lunyungu, nimeongea nae kwa number hiyo hapo juu, anaendelea vizuri, hospital ametoka, ila bado anaatend akitokea nyumbani.

Yaliyomkuta Lunyungu Muhimbili nayafahamu kwa vile na mimi kuna yangu yalinikuta.

Kwa vile thread starter ni JF, nakuomba mode, pata update ya hali ya Lunyungu utuupdate hapa ili pia tu discuss a way forward.

Mimi nimeongea naye na kupata update ya hali yake, kwa vile ni private talk, ningeomba mode apate public version so that we can share.

Kama tulivyofanya kwa wahanga wa majanga mbalimbali, naamini JF inaweza kufanya kitu kwa individual member kama huyu.

Niliwahi kuwa hospitalized inje ya nchi kwa kipindi kirefu, lakini pamoja na family support, life was not the same without society na social support besides "Get Well Soon" wishes, he needs more than that.
lets do something.

Lunyungu, Get Well Soon!.
 

Mode, nakuomba mtendee haki huyu mwana JF mwenzetu,
Kwa vile ninayo update yake, nimeona sio busara kuibuka nayo mimi asa an individual member wakati mkuu mwenyewe JamiiForums yupo!
 
jamani
pole sana sana mungu ni mwaminifu atakuponya........ yani am so sad anyway i will call u whatever mungu anusuru upone salama baba:embarrassed:
 
Mode, nakuomba mtendee haki huyu mwana JF mwenzetu,
Kwa vile ninayo update yake, nimeona sio busara kuibuka nayo mimi asa an individual member wakati mkuu mwenyewe JamiiForums yupo!
Mode pleaseee update!
 
Namwombea sana ndugu yetu huyu apate nafuu mapema.
Nimejaribu kumpigia hapokei, nadhani atakuwa mapumziko

ASPRIN upo wapi? yule tabibu pls namba yake nimtumie Lunyungu

Msanii bwana.Kuna tabibu hapa ?

Wakuu kwa kweli nimeona sala zenu ila kwa kifupi niseme kama nisingalikuwa na access na matibu Tanzania hakuna .Prof .Kahamba anatibu lwa mazoea na wengi nasikia wana mwamini mno but ni mzigo .Alio wahi kuwaibu alibahatisha na Mungu wao ni mkubwa .The guy aliamua kutaka kuni opetrate baada ya kuona MRI scan imeonyesha disc zimekuwa compressed nikamuuliza uti wa mgongo unataka kufanyaje ? Yeye anataka nisiulize ila nilazwe MOI anipasue nikasema hell no .

Nimefika Ulaya jambo ambalo Tanzania walichukua mwezi na siku kadhaa kutafuta ugonjwa it took the doctors Ulaya only 4 hours wakajua ninaumwa cancer na ilitoka na ac ya gari.Wakagundua damu iliisha kaushwa na kuongezewa damu haraka haraka , sikupasuliwa na nimelala kitandani hosp muda murefu sana kuanzia mwana jana Sept hadi mwaka huu March .Mungu akasimama nami leo naongea nanyi na natembea wakati TZ walismea siwezi kutembea tena .Hawa ndiyo ma daktari wetu wa kuaminika Tanzania lakini wana shida kweli zaidi ya wagonjwa wenyewe .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…