Wapo watu wamewaua wenzao kwa kutumia madaraka yao, wamebomoa majumba ya watu utadhaani wanavunja vichuguu vya mchwa! Je watu hawa wana roho gani?Yani watu Wana roho mbaya Sana, kaa unamwombea binadam mwenzako mabaya as if utaushi milele
Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
Alikua anapokea simu nyingi za kumpa pole na kuomba pardon ya kutohudhulia kwenye maziko kutoka Kwa Marais mbalimbali Duniani, conferences zilikua kibao pale ikulu ndogo..Mkuu rais anechelewa kwa masaa Kama manne hivi shida ilikuwa nini?
😆😆😆😆😆Alikua anapokea simu nyingi za kumpa pole na kuomba pardon ya kutohudhulia kwenye maziko kutoka Kwa Marais mbalimbali Duniani, conferences zilikua kibao pale ikulu ndogo..
Sijui bana Ila duMengine yanamhusu yeye tu. Ila pia naye umri umeenda na mambo ni mengi na mshtuko wa kufiwa na mentor na yote yaambatanayo na umri wake. Hata hivyo amejitahidi sana.
Mkuu rais amechelewa kwa masaa Kama manne hivi shida ilikuwa nini?
Mkuu ukiamuka vibaya una delegate straight away na Mambo yanaendelea siyo kuwaweka watuKuna kuamka Vibaya.....
Chama cha wakulima chama cha wanyonge hewa....Hata Mimi nimechoka kabisa,yaani hata kumpa nafasi mwenyekiti wa Kijiji Cha lupaso kwa niaba ya wanyonge wenzake wameshindwa? That was not fair
Tusubiri wote mkuu.... Hakuna aliyesema hawezi kumpigia kampeni. Asipofanga hivo anaweza hata kutekwa mkuu.....Msije mkawaita wasaliti watakapopanda majukwaani kumnadi Magufuli na kuwaponda wapinzani. Subiri kampeni zianze
Ukiona ivyo ujue kulikuwa na mambo ya kiprotocol ya kiusalama yalijuwa yakisubiriwa kukamilika,.......usipende tu kila sehemu Raisi umuone kwa wakati wako, kuna gharama kubwa sana nchi huwa inapata pale Raisi anapokuwa sehemu kwa muda zaidi uliopangwa protocaly.... in short Time is money anapokuwepo RaisingSi jambo baya kuuliza ni RAIS wetu ambaye tunampenda na tulitangaziwa alishafika Mtwara kwa kwa ajili ya kumzika mpendwa wetu. Kwa upendo binafsi lazima tujiulize why haonekani. Kwa nia njema. Yeye ni binadamu anaweza kupata dharura, lakini yeye ni kiongozi wetu si vibaya tukaambiwa.
RIP BWM tutakukumbuka daima
Unatetea utopolo?Ukiona ivyo ujue kulikuwa na mambo ya kiprotocol ya kiusalama yalijuwa yakisubiriwa kukamilika,.......usipende tu kila sehemu Raisi umuone kwa wakati wako, kuna gharama kubwa sana nchi huwa inapata pale Raisi anapokuwa sehemu kwa muda zaidi uliopangwa protocaly.... in short Time is money anapokuwepo Raising
Naomba niishie apo.
😆😆Corona imekoromea mbali